Kwahiyo mmeshindwa hata kuwaheshimu mama zenu kwa sababu tu ya tofauti zenu za kimitazamo?
Nawasikitikia sana akina mama wazuri walioambulia mitoto ya namna hii!
"Mwana mpumbavu ni huzuni kwa babaye, na uchungu kwa mamaye aliyemzaa" - Mithali 17:25
Kwanini usiende bank moja kwa moja ambako utalipa bure?
Hizo control number za serikali zinaonekana kutowapa faida yoyote mawakala na ndio maana kila sehemu wanaziepuka (si huko Mpanda kwenu pekee), ila walipaji mnakomaa mhudumiwe tu. Nimewahi kufanya kazi inayonitaka kubenki fedha za umma, na...
Umeongea jambo la msingi sana, ila comments zinazotolewa ndizo nilizitarajia.
Unakuta kijana ana simu ambayo hata kuitumia hajui, na haina kazi zaidi ya kupiga picha na kuuza sura tiktok akiambatanisha na caption zilizojaa michapia ya kutia aibu.
Huo mgogoro umewafanya wenye timu zenu kuhemkwa na kuwa kama wehu.
Kuna sehemu yoyote nimepinga kwamba Netanyahu hajakataliwa?
Nilichopinga ni uongo wako kwamba tangu vita vianze ndio kiongozi wa kwanza anaanguka kipindi hiki wakati wapo kibao tu walioanguka kabla, ikiwa ni pamoja na...
Huyo dogo anaongea uongo wa kipumbavu ambao hauhitaji hata akili ya darasa la sabu kuubaini.
Na bahati mbaya sana anaongea mbele ya wananchi akiwa na uso mkavu kabisa akijiamini. Hiyo ni ishara ya dharau kubwa dhidi ya watanzania, ni kuwachukulia watu wazima kama watoto wadogo.
Jamii ya watu...
Honestly nami nimewahi kutoa mabao kwenye mitihani kadhaa, hasa kutokana na presha ya muda maana mimi naandika taratibu na sipendi kulipua majibu ninapojibu maswali yangu ya maelezo (essay). Matokeo yake naambiwa 30 mins zimebaki sijagusa maswali mawili! Hapo nararuka akili na kuanza kuandika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.