Recent content by Kasinja jr

  1. Kasinja jr

    Naona na Mange imemfikia, Ninayo kitambo

    Niliusaka Huu uzi Jana baada ya mange kusema haya nikajiuliza au mange anasoma huku kuhabarisha kule? Maana hii taarifa ipo hata since September!
  2. Kasinja jr

    CHADEMA shtukeni, kuna mkakati wa kumhukumu Lissu kifungo cha miaka 5, hadi 2031

    Ukitaka kujua kuna shida ya akili miongoni mwa vijana wa chadema na kitz kwa ujumla ni kwamba wapo kabisa wanaoamini haya maandiko ya Hilda Newton yaani mtu ambaye hajui hata family yake kule mtoni TMK inaendelea vipi awe na taarifa nyeti za nchi!!!
  3. Kasinja jr

    Kwa mambo yanavyoendelea, napata mashaka na kifo cha Hayati Magufuli

    Na Ulisema target ni NCHIMBI ***** we jamaa
  4. Kasinja jr

    Lissu yupo Sana tu mtaani ninyi andaa tu jinsi ya kumpokea, wanaharakati baadhi wanawadanganya

    We jamaa hivi unamwandikiaga Nani haya maingereza magumu si bora uweke kwenye forum ya wana vyuo vikuu
  5. Kasinja jr

    Haya sasa maisha matamu usiku huu Singapore

    Dogo tunamjua kitambo sana watu wakadhani amekuja leo
Back
Top Bottom