Namkubali Sana, Ule uzi wake wa "Nafasi za kazi Mbalimbali" Alitisha sanaa.... Hapo Mbeleni Najua Tutabadilishana Mawasiliano, She Deserve to be my Sister
Ni Mtu Mzuri
Weed ☺️
Waambie mzee Hawaelewii Wanafikiri Biashara ya Chips inahitaji mamilioni ili kuanzaa , Kuna Madogo Pale Home kiwalani Wameanza na Laki 2 tuu now wanapiga Hela Vibaya, Madogo wanakwambia kwa siku hawakosi Elfu 50 *****, Na wapo wawili tuu.
Jana Nilikuwa Napiga Stori na Rafiki Yangu Mmoja hivii, Akaniuliza Sasa Mwanangu Umemaliza Chuo Una Mipango Gani !? Nikamwambia January Tunaenda internship Hivyo Mpaka tunamaliza Nitahakikisha Nimekusanya Laki 5 ya Mtaji wa Chips.
kusikia hivyo jamaa Aka'panic Akaanza kusema "Chips Mtaji wake...
Fanya Kegel Exercises, Yapo Ya aina Nyingiii ila kuna Moja la kubana na kuachia Uume Lizingatie hilo,,
Halafu Unapokutana Na Demu Hakikisha kwanza Unamchezea "Maandalizi" Sio Unachomeka tuuu.... !!!
Mwisho kabisa Hakikisha Kila siku unameza Punje 3 za Kitunguu Swaumu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.