Recent content by Kas339

  1. Kas339

    KERO Fedha za Kujikimu zinaua morari ya Ajira Mpya Urambo - Tabora, tulipeni

    Halmashauri nyingi huwa hawana hizo pesa, muhimu unalipwa mshahara. Kama haulipwi au hujaridhika na hiyo kazi ipige chini 😎
  2. Kas339

    KERO TEOFILO KISANJI UNIVERSITY MBEYA nilipeni stahiki zangu, mama amefariki kwa mimi kukosa hela za kumuuguza

    Kama hauna ushahidi wa mkataba wako wa kazi kuhusu stahiki zako, unapoteza muda wako tu. Pia kama hujawahi kusajiliwa na NSSF na ukashuhudia huo utaratibu kukamilika, napo unahangaika bure. Endelea na maisha yako.
  3. Kas339

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Mkurugenzi kupitisha haimaanishi amekubali uhame, hujui ametoa maoni gani juu yako. Kiufupi, huwezi kuhama ili hali una likizo ya masomo. Pambana na shule tu.
  4. Kas339

    KERO Najutia kusoma fani ya Ufundi Magari (Motor Vehicle Mechanics – MVM), Ajira Portal imetusahau kabisa

    Usomee ufundi magari kisha usubiri ajira ya serikali? Ujue wewe ni kilaza balaa. Magari yalivyojazana barabarani na mitaani ukose kazi kweli?!
  5. Kas339

    KERO Watumishi wa Umma kuna kukosekana kwa usawa katika upatikanaji wa nyongeza za mishahara kwa miaka miwili

    Ukweli hauwezi kuujua bila kuwa na taarifa sahihi kama salary slip, miaka ya cheo kipya na PEPMIS
  6. Kas339

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Kupitisha haimaanishi umekubaliwa, alichoandika Mkurugenzi wako huwezi kukiona. Kiufupi hawezi kukuruhusu kuhama ili hali unaruhusa ya masomo. Endelea tu na shule, huwezi kypata uhamisbo.
  7. Kas339

    KERO Walimu walioajiriwa mwaka 2026 katika Halmashauri ya Bukombe hatujalipwa fedha za kujikimu

    Gen Z mnashida sana; hela ya kujikimu mtapewa na mwajiri kama ipo. Kama haipo mtaendelea kusubiri cha msingi mshahara wenu mpate. Mtasubiri hadi lini, haijulikani, hata miaka 6 🤷🏾
  8. Kas339

    Mtoto anafundishwa nini hapa?

    Anaoneshwa alikotoka......,!!!
  9. Kas339

    For JamiiForums Mobile users

    [/colour=green]najaribu[/colour]
  10. Kas339

    For JamiiForums Mobile users

    [/colour=green] najaribu [colour]
  11. Kas339

    For JamiiForums Mobile users

    [/colour=green] najaribu
  12. Kas339

    Housegirl ana mvuto zaidi ya mke wangu...

    Umekwishaaaaaaaaa!!!!!!
  13. Kas339

    Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

    Portugal 3-2 Denmark
  14. Kas339

    Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

    Hili ndo soka.....!!!!
Back
Top Bottom