Recent content by karl marx1992

  1. K

    PreGE2025 Tetesi: Ni kweli Lissu anataka kumng'oa mwenyekiti wa BAWACHA Taifa?

    Mkuu kama kawaida unaanzisha masuala ya udini
  2. K

    Hivi tatizo la kutosikia vizuri ni tatizo kubwa zaidi duniani?

    kimsingi ni kwamba hali ya ulemavu kwa jamii nyingi za watanzania ni changamoto. Wewe unazungumzia suala la usikivu hafifu, kuna watu ni viziwi wasioona ulishawahi kujiuliza hawa ndugu kwenye jamii wanaishi vipi? cha msingi ni kukubaliana na hali uliyonayo nakuchukulia zile changamoto kama tu ni...
  3. K

    Je kifo cha 'Jasusi mbobezi' kimeondoka na kichwa leo?

    Pohamba hebu karibu. Nakupa kistuli cha mbele.
  4. K

    Book Review "In the Name of the President : Memoirs of a Jailed Journalist"

    Sio kweli unachokisema ubepari umeua watu wengi sana duniani kuliko hata huo ukuministi unaoulaumu
  5. K

    Gaming PC hii hapa

    Gen ya 6 na windows 11
  6. K

    A woman for relationship culminating in a marriage

    Huwa nasoma michAngo yako. Mkuu najifunza mengi toka kwako.
  7. K

    A woman for relationship culminating in a marriage

    My private message area has been papered with unrealistic and outlandish questions. Please if you come to my private message area please observe good communication practicies which will make us communicate cordially
  8. K

    Nilipata pesa na kujiona mwanaume ndani ya ndoa

    Kwa nini unatutumia takataka kutoka facebook kuna post yako ya kwanza niliona hiki kitu watu hawakushtuka leo tena nimeona kwa mara ya pili hebu liheshimu hili jukwaa sio eneo la kuokoteza kila posti na kuitupia humu ndani
  9. K

    Hello future Hubby

    @financial services mkuu ni mtu poa sana. Unampa arsists tu ila ndo hataki.
  10. K

    A woman for relationship culminating in a marriage

    Ila we jamaa unanivunjaga mbavu sana
Back
Top Bottom