Recent content by kariobangii

  1. K

    Sheria ya Mirathi ya Kiislamu kwa mtoto wa nje ya ndoa ibadilishwe

    Nazungumzia Quran wewe unataja biblia,! si kujitoa ufahamu huko?
  2. K

    Sheria ya Mirathi ya Kiislamu kwa mtoto wa nje ya ndoa ibadilishwe

    msipende kuzungumzia vitu msivyo na elimu navyo hakuna Sehemu Quran imezungumzia hilo ni porojo za vijiweni tu
  3. K

    Sheria ya Mirathi ya Kiislamu kwa mtoto wa nje ya ndoa ibadilishwe

    Hivi ni aya gani katika Quran imezungumzia hilo?
  4. K

    Kinachotokea kwenye mikutano mkuu wa mkoa Arusha kitufungue macho!

    kwani kero zilizotolewa ni za kisheria/Mahakama tu? hakukuwa na kero ya sekta nyingine?
  5. K

    Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

    Huu ni zaidi ya uongo! yaani 300 upate sahani ya Chakula? mtakuwa mnalishwa mashudu nyinyi
  6. K

    Ni lini Tanganyika itaacha kuikalia Zanzibar kimabavu?

    hapa aulizwe William Lukuvi
  7. K

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Umezungumzia kwa kanda ya ziwa ila naamini hiyo Mbogwe hata uipambe vipi haiifikii mpanda kwa mpunga na mahindi Sasa mpaka hapo hujanishawishi kwa kigezo Cha kuchaguliwa,labda uniambie kwa utashi wa wenye maamuzi!
  8. K

    Mfahamu daktari wa kwanza duniani "Hippocrites"

    kumbe daktari wa kwanza alikuwa mnafiki?
  9. K

    Naibu Spika Zungu atumiwa kumlinda Sheikh Ally Mmanga-Imamu msikiti wa Madina

    Hatimaye waziri Silaa ameingilia kati na kumn'yang'anya mnunuzi wa nyumba na kuwadhalilisha hadharani "wasoma milango" na barzanji
  10. K

    Furaha Dominic, Mpwa wa Hayati Magufuli apandishwa Kizimbani kwa kusambaza Picha za Ngono

    we umesahau mabilionea wa Arusha? mtu ana V8 mbili na range moja tayari bilionea
Back
Top Bottom