Recent content by KARIBU KINGLION

  1. KARIBU KINGLION

    Ila Trump ni wa ajabu sana

    Hili nilikuwa silijui...Marekani nao nadhani hawalijui jambo hili, kwani wangelijua, wangeelewa kuwa kununua mafuta kutoka kwa Russia ni kununua mafuta kutoka kwa Iran...
  2. KARIBU KINGLION

    Ila Trump ni wa ajabu sana

    Inafikirisha...
  3. KARIBU KINGLION

    Ila Trump ni wa ajabu sana

    Hii haimake sense...unajua kwanini..!? Russia anazalisha mafuta mengi sana...kwanini apokee mafuta ya Iran kisha ayauze...Anafaidika vipi kuwa mtu wa kati, badala ya kuuza mafuta yake moja kwa moja..?
  4. KARIBU KINGLION

    SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

    Dlalaaaa Thuksin!!!!
  5. KARIBU KINGLION

    Tunauza coil za mabati(mpya/rejects), mabati scraps

    Mali safi! Coil kama hii unaipata kwa dola 1470 kwa tani moja.
Back
Top Bottom