Recent content by kapuni

  1. K

    Magufuli alikoroga, Maandamano makubwa kumpinga leo

    Kwa kuongezea, inasadikika mapato mengi sana (50M) yanapotea pale kutokana na wafanyakazi wasio waaminifu, walichoshauri ufanyike uchunguzi na kubaini hayo mapungufu waone kama kuna uwezekano wa kupandisha hiyo nauli. Kingine nadhani watu wasing'ang'anie sana kuhusu nauli ya mtu, kuna nauli za...
  2. K

    Nimshaurije huyu baba?

    Aisee si bora ungenyamaza, kwani amefanya kosa gani kuomba ushauri!!!
  3. K

    Blackberry original toka U.S.A zinauzwa(zina internet bila ya kulipia kwa mwezi)!!!

    Mkuu weka namba yako ya simu tuongee, maana haya ya KU-PM naona inachukua muda sana kureply
  4. K

    Blackberry original toka U.S.A zinauzwa(zina internet bila ya kulipia kwa mwezi)!!!

    Ni mpya mkuu, nitakupata wapi mwanangu hapa dar?
  5. K

    Update....mnapeana?!

    na usisahau pia hao hao wazungu wanasema "If it can, It will" ndio hapo sasa!!!
  6. K

    Update....mnapeana?!

    umesahau kumalizia " As it does not work anymore"
  7. K

    Contacts za Hifadhi za Saadani

    Wadau naomba mtu yoyote mwenye mawasiliano (contacts) za Hifadhi ya Saadani anisaidie, hasa simu maana nimejaribu kutafuta website yao nimeshindwa. Asanteni
  8. K

    Mgao wa umeme wa kufa mtu watangazwa, Juni 2011 na kuendelea

    Mkuu tupatie maelekezo vizuri,jina na tunafikaje hapo pamoja na hata namba zao za simu, si unajua kkoo unaweza ukazunguka kumbe duka lipo hapo hapo.
  9. K

    Noti mpya hazina ubora?

    Jamani noti mpya zipo na hakuna mpango wa kuziondoa kama wengi mnavyofikiri, hazitolewi kwa kasi kana kwamba hizi za zamani zinatakiwa kupotea ndani ya mwezi, kama ni hivyo tungepewa muda wa kwenda kuzibadilisha benki kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.Hakuna uharaka huo zitajiondoa taratibu na hizi...
  10. K

    Free internet ITV Broadcast

    Mbona sauti haitoki?
  11. K

    Maoni ya wananchi: Suluhu ya msongamano wa magari jijini Dar es Salaam

    Samahani wakuu, hivi ofisi kama Wizara ya Elimu,Wizara ya Uchukuzi,Ujenzi,Tamisemi nk zinafanya nini hapa Mjini? kwanini zisingekwenda Dodoma kupunguza huu msongamano!!!
  12. K

    Hifadhi ya barabara ya Morogoro ni mita ngapi?

    Kama nimemsikia vizuri kwenye Jicho la ng'ombe kwenye clouds leo,Bwana Magufuli amenukuliwa akisema kutoka mnara wa askari mpaka ubungo ni mita 60 na kuanzia ubungo mataa na kuendelea ni mita 300, na akathibitisa Jengo la Tanesco na Wizara ya Maji vipo ndani hifadhi ya barabara
  13. K

    Gbagbo refuses phone call from Barack Obama

    Anasubiri waunde serikali ya umoja wa kitaifa,hii ndio janja ya nyani ya viongozi wa AFRIKA siku hizi!!!!!
  14. K

    GE2010 Matokeo sahihi ya uchaguzi mkuu Tanzania 2010

    Hata haya yamechakachuliwa ulishawahi kusikia kura sehemu (in fraction)? matokeo mengi hapo utaona kura sijui.47 sasa tumuamini nani sio mchakachuaji. Jaribu kuangalia column ya total za kura kwa kila mgombea utakuta zina sehemu,sasa kura au watu wanahesabiwa kwa sehemu,kura...
  15. K

    Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    Mapolisi wanapata kiburi wakiwa kituoni,kama ishu inaweza ikaisha pasipokwenda kituoni ni vizuri zaidi.
Back
Top Bottom