Recent content by Kapumpuli

  1. Kapumpuli

    Baada ya Tundu Lissu na John Heche kufungwa Freeman Aikael Mbowe ndiye atakayewatoa Gerezani kwa Maridhiano atakayofanya

    Huyu ndugu Freeman nadhani ni sehemu ya serikali..... Baada ya uchaguzi wa ndani ya Chama chake hakika Imani ya watu kwake imeporomoka sana
  2. Kapumpuli

    Tetesi: Godbless Lema kujiuzulu ujumbe wa Kamati Kuu CHADEMA Novemba 1, 2026

    Sawasawa... Maamuzi yake yaheshimiwe...
  3. Kapumpuli

    Kuku wakuchoma wakienyeji Dar wapi wanauza?

    Gongo la Mboto, kituo Cha mwisho wa Lami pale Huwa wanachoma sana kuku.... Ukitaka mbuzi choma na nyama ya ng'ombe utapata pia... Zaidi zaidi mbuzi na ng'ombe waweza pia kupata hapo Pugu Mnadani.....😀
  4. Kapumpuli

    Motivesheni spika punguzeni Ujuaji! Kuna siku mtachapika na hamtaamini

    Na kula Huwa tunakula mara Moja tu haturudii ee?
  5. Kapumpuli

    Motivesheni spika punguzeni Ujuaji! Kuna siku mtachapika na hamtaamini

    Hivi kama tunatafuta pesa ambayo siyo ya kula Sasa pesa Ina kazi gani basi?
  6. Kapumpuli

    Mbeya: Polisi Washusha Bendera za CHADEMA

    Hapa ndiyo Huwa nihoji ueledi wa polisi.... Kwani hapa kulikuwa na jinai gani mpaka wafanye hivi Hawa police?...
  7. Kapumpuli

    Mpira umeisha kwa Amani wanaodai Haki haikutendeka wanataka kuvuruga michuano ya AFCON.

    Leo ndo nimeelewa haki ni muhimu.... Unaona kabisa haki Yako inapindishwa waziwazi na watoa maamuzi....
  8. Kapumpuli

    Kuhusu kifo cha ghafla cha Bernard Membe, maelezo ya Humphrey Polepole yameacha maswali

    Saaana.... Alikuwa anajisikia fahari kwelikweli
  9. Kapumpuli

    Kuhusu kifo cha ghafla cha Bernard Membe, maelezo ya Humphrey Polepole yameacha maswali

    Vifo vyao huacha maswali sana mara nyingi... Huzusha sintofahamu...
  10. Kapumpuli

    Kuhusu kifo cha ghafla cha Bernard Membe, maelezo ya Humphrey Polepole yameacha maswali

    BM alikuwa kachero mbobezi..... Tulikuwa tunaambiwa hivyo
Back
Top Bottom