Recent content by kapuli Amtoni

  1. K

    Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

    Inawezekana Report Ikawa Siyo Accurate Mia Kwa Mia Lakini Kama Richmond Dev Company Ni Kampuni Hewa Kweli Basi Hakuna Utetezi Utakaokuwa Wa Maana Kwa Watanzania Bali Kuwaomba Radhi Na Hatimaye Kuwahjibika.hawa Watu Wanafanya Wananchi Kuichukia Serkali Yao Kwa Uroho Kujilimbikizia Utajiri Siku Za...
  2. K

    Kenya Election 2007: Outcomes

    Hakuna Ushahidi Wa Kitaalamu Kudhibitisha Hilo, Ila Kuna Dalili Za Wazi Kuwa Kuongezeka Kwa Wasomi Katika Secta Za Umma Huvujisha Sana Raslimali Chache Tulizonazo Kwa Njia Ya Semina, Safari Za Ndani Na Nje,ununuzi Wa Magari Ya Kifahari,matibabu Ya Viongozi Kufanyika Nje Ya Nchi Hata Kama Kuna...
  3. K

    Kula Kwa Kibaki, Kura Kwa Raila

    I Believe Tanzania Has A Bigger Diversity Of Ethinic Groups Compared To Kenya Yet These Groups Live Together In Harmon Dispite Poverty And Limited Assential Services. Why Cant You Neighbours Learn From Us Free Of Charge? Kenya Is Better Placed To Develop Its People If You Stay Together As A...
  4. K

    Ndugu Askofu Malasusa unataka kufanya kweli ama ni changa la macho hili ?

    asante kwa post hii, NINGEPENDA KUONGEZA KUWA RUSHWA IMESHAMIRI KUTOKANA NA MABADILIKO YA KIITIKADI,WAKATI WA MWL. NYERERE NA SIASA ZA UJAMAA RUSHWA ILIKUWEPO LAKINI ILIKUWA SIYO YA KUTISHA KAMA ILIVYO SASA.KWA UJUMLA WATU WENGI WALIUKUBALI UJAMAA NA KUAMINI MALI ZA MSINGI NI MALI ZA UMMA...
  5. K

    Teuzi na Tenguzi za Viongozi Mabalimbali Zilizofanywa na Rais Wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (2005-2015)

    nampongeza Rais kwa kuteua kamati huru wajumbe wengi ni wale wenye msimamo tunawafahamu .Naamini watasaidia Taifa kujua ukweli katika kamanyola hii
  6. K

    The best ISP in Tanzania

    siyo tsh100 kwa sasa ni shs 260kwa mb haijulikani kigezo kilichotumika kupandisha namna hivyo. juzi tu tanesco nao wamerusha service charges zao kutoka sh 200000 hadi 500,000 jamani vitu hivi siyo luxury tunaenda wapi?
  7. K

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    thanks for your comments
  8. K

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    hayo unayoyaona ndiyo makabila madogo yametufikisha wapi?safari hii hatukubali kuamini makabila madogo hayana upendeleo
Back
Top Bottom