Recent content by Kapalamsenga JR

  1. K

    Mliofanikiwa kilimo cha ngano mtupe ABC natamani kulima

    Shukrani sana mkuu, Shule nzuri!
  2. K

    Mliofanikiwa kilimo cha ngano mtupe ABC natamani kulima

    Duu! Pole sana mdau! Kwani kabla ya hapo ulikuwa na uzoefu wa kulima ngano kwa muda gani? Maana hata kilimo kina principle zake na kinahitaji uzoefu! Kuna hatua za kilimo ambazo mkulima ukizifuata kikamilifu huwezi kukosa kurudisha hata ya nguvu zako labda tu hali ya hewa hasa upatikanaji wa...
  3. K

    Mliofanikiwa kilimo cha ngano mtupe ABC natamani kulima

    Salam wanajamii Forums! Nipo Nyanda za juu kusini natamani kuanzisha kilimo cha ngano kwenye msimu wa mvua ujao hata hivyo bado natafuta kupata uzoefu kwa wakulima mliobobea kwenye zao hili. Je nini hasa changamoto zake na namna ya kukabiliana nazo? Je kilimo chake kinafanyikaje? Changamoto...
Back
Top Bottom