Recent content by Kamundu

  1. K

    PostGE2025 Hamza Johari adaiwa kujaribu kumng'oa Mange Kimambi nchini Marekani

    Hawezi kufanikiwa kwasababu ni lazima judge ndiye atoe hicho kibali sio mambo ya kuongea ongea wenzetu wana katiba imara. Hakuna jaji ambaye atakubali huu ujinga
  2. K

    PostGE2025 Heche na Mnyika, Mazungumzo ya kisiasa na serikali kutatua mkwamo wa kisiasa na suala la Lissu kuwa huru kamwe isitafsiriwe kama ni kupiga magoti

    Huwezi kupinga mfumo huu wa kujuana na kuongea kisirisiri badala ya kufuata sheria halafu wakarudi tena kufanya hivyo. Lissu ndiye anapigania huu mfumo wa kijinga jinga sheria zifuatwe bila uonevu huwezi kuwaonea watu halafu unataka vikao hapana huu mfumo wa kikoloni ndiyo lissu anapigana...
  3. K

    Tanzania kuwa na Rais mwanamke ni mapinduzi kwa haki na usawa wa wanawake sio tu nchini bali kwa Afrika na dunia

    Huyu Mama mwizi wa kura hakuna mtu Mwafrica na Mzalendo yeyote anamwona wa maana na toa upuuzi wako wa kichawa hapa
  4. K

    Maganya: Mzanzibar ruksa kuwa Rais baada ya Samia kutoka

    Samia anataka kumuweka Mwinyi ili waendelee kuiba
  5. K

    Mr T Touch adai chanzo cha Diamond kumpunguza S2Kizzy ni baada ya kumpa beat la YouTube!

    Toeni ujinga jinga producer ambaye hajui hata kutafuta jina zuri sasa ndiyo jina gani hilo la kisanii🤦🏾‍♂️😳
  6. K

    Samia Suluhu akiwa kwenye picha na viongozi mbalimbali wanaoshiriki katika Mkutano wa COP31

    Wangapi wameiba kura hapo hawajachaguliwa kama hili li Mama🤦🏾‍♂️😂😂😂
  7. K

    Majaji wa Rufaa : Jaji Ndunguru anaweka uchawa kuchukuwa kazi zenu!!! msiwe wajinga

    Majaji wa Rufaa : Jaji Ndunguru anaweka uchawa kuchukuwa kazi zenu!!! msiwe wajinga. Tumefika wakati hata watu wenye akili zao wanajifanya wajinga ili wapande vyeo maana huu utaratibu wa udikteta mchara tulio nao huwezi kuwa na akili ukapendwa. Ndiyo maana wafanyabiashara wengi na CEO kama...
  8. K

    Ilikuwaje Tundu Lissu na ndugu zake wameshindwa kujenga nyumba za kisasa kwao?

    Hawa ni wafugaji kama wamasai nyumba sio mambo yao. Nenda kaangalie nyumba za wamasai.
  9. K

    Japo Mungu Ndie Muumba wa Dunia Hii, Inawezekana ni Shetani Ndie Mtawala wa Dunia Hii?, Haiwezekani WaKweli Wana Sulubiwa Huku Mungu Anaangalia Tuu!

    Tunajua imekuuma lakini ndiyo maana tunasemaga tungekuwa pamoja na msimamo imara wasingefika huku. Kuwadekeza na kuona wanaweza kufanya lolote ndiyo wanaendela kusogeza post na itatufikia kila mtu tukinyamaza
  10. K

    Tujiulize huyo Deogratius Ndejembi

    Huyu ndiye waziri alinunua nyumba zaidi ya 1B Masaki miaka hiyo sasa ndiyo tutakoma
  11. K

    Tujiulize huyo Deogratius Ndejembi

    Nchimbi ndiye alikuwa anafaa kwa serikali ya wizi wa kura. Lakini Makamu wa Raisi anatakiwa kuchaguliwa kwa demokrasia kwa kura
  12. K

    Tujiulize huyo Deogratius Ndejembi

    Tuzingatie huyu Mama hayupo sawa je akiondoka leo hii huyu Ndejembi atatupeleka wapi? Yaani unaweza kumlinganisha huyu na Dr Nchimbi kweli tuweni makini sana na usahabiki
  13. K

    Jaji Ndunguru anasubiri kupandishwa cheo

    Jaji chawa Ndunguru anasubiri kupandishwa cheo kwasasa majaji wanatafuta kazi ya wanasiasa nao waweze kuiba maana mahama haina pesa za upigaji kama serikalini
  14. K

    Kifungo Cha Lissu Kiwe Funzo kwa Vijana Wa CHADEMA na kutambua Hakuna Aliye juu Ya Sheria . Leo Lissu Yupo Gerezani Mwenyewe Na Maisha Yanaendelea.

    https://www.jamiiforums.com/threads/je-kwanini-heshima-ya-jaji-mkuu-na-mahakama-imeshuka-kwa-kasi-kubwa.2492716/ Hakuna funzo lolote kwenye majaji wa maelekezo na vijana wa siku hizi wamejua hukumu mapema kabla hata ya machawa! mchongo wote unajulikana kawaambie ujinga wako vijana wa CCM
  15. K

    Jaji Mkuu Masaju aapishwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usaili wa wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi

    https://www.jamiiforums.com/threads/je-kwanini-heshima-ya-jaji-mkuu-na-mahakama-imeshuka-kwa-kasi-kubwa.2492716/
Back
Top Bottom