Wana FR naomba mnipambanue,mbona nasikia akina Ridhiwan yule mama Salma si mama yao,au amezaa wote 8 na mama Salma alafu kuna wengine waliozaliwa na Ridhiwan basi atakuwa ni balaa,kidume cha mbegu,alafu elimu yake itakuwa haijamkomboa watoto wote wa nini usawa huu.
CV yake haitishi...