Recent content by Kamjuge

  1. K

    Vurugu za Kisiasa Tanzania, turudishe chama kimoja

    Mazungumzo yako hayana mana wala hayaeleweki, labda kwa kuwa hujajua bado unataka nini? Kaka mtanzania usinichukie ila hivi ndivyo ninavyokuchukulia Very very sorryyyyyyyyyyyyyy!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  2. K

    Do you have Family Problems?

    Woooh it is amazing to hear tremendous story from wonderfull genious, from the house of the great thinkers ever. impressive! very
  3. K

    BoT recruitment test

    It caries more than a joke inside it. Will you please stop beating around the bush?
  4. K

    Tz tuna wachekeshaji?

    Ebwanaeeeeee mwana mulemule huyu jamaa ni nomaaaa.....
  5. K

    GE2010 Waraka wa Waislam Kuhusu Uchaguzi Wakamilika

    Waraka wa kiislamu na wala si wa waislamu haujamlenga muislam bali jamii nzima, hauzungumzii kanisa limekosea wapi bali wananchi wanabainishiwa wajibu wao. MAONI BINAFSI JUU YAKO. Unaweza kubadilisha hiyo picha yako maana kusema ukweli napata tabu sana kusoma mchango wako au kulazimika...
  6. K

    Viongozi wa Dini na Hatma ya Tanzania

    Asalam Aleikum Ndugu zangu, kwa wenye na wasio na imani kama ya kwangu. Leo hii mijadala kwenye RADIO, TV na MAGAZETI waandishi na watangazaji wakiwaalika wanasiasa wakongwe, watu wa nyadhifa mbalimbali hamwe na viongozi wa dini ikiwa ni kuwahoji au kutaka mchango wao juu ya nilichoamua...
  7. K

    Zeutamu haifanyi kazi.

    Haloo? Kabla sijakuwa mwanachama wa JF nilikua na bado naheshimu mchango wao na sasa wetu katika kulisongesha gurudumu hili, najua kwa pamoja mimi na ninyi tunaweza kutengeneza historia na kujijengea heshima katika jamii iliyopo, inayochipukia na itakayokuja baadae. Nasema ahsante kwa niaba...
  8. K

    12 wafa, 22 majeruhi ajali ya moto shuleni Iringa

    Asalam aleikum, ndugu zanguni? na wenye imani kama yangu pasi na kuwasahau wengine mlio na imani zingine bila kuwasahau wale wasio na imani kabisaaa.....!!! Pole kwa wafiwa wote na pole pia kwa majeruhi wote, Mwenyezi Mungu pekee ndio mwenye uwezo wa kumfanya mzima kuwa mfu na mgonjwa kuwa...
  9. K

    Tired Husband

    Believe me? you have a wrong name Mr.
  10. K

    Madereva wa mikoani wasitisha mgomo wao!

    Kwenye mengi mliyosema, machache ya kuchangia sikosi, wazeya kama kuna watu walikua hawaamini kwamba wakuu wameoza hutakuja kufahamu tena mpaka utakapuchimbiwa shimo na tani kibwena za mchanga kuja juu yako. HUKUMU Kusema za ukweli hukumu haikuwa fea kwa kuwa jamaa katika ajai hiyo...
  11. K

    Meremeta Report: Released to the Public (Revised & Free!)

    Impressive, Sir. i do appreciate the effort you putting on the sensitive issues. Thanks again.
  12. K

    Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

    Mhhh.... haya majungu tu hamna lolote, kwa hili humpati mtu!
  13. K

    Tamko la Ikulu juu ya Richmond

    Wajameni inawezekana Phillemon Luhanjo akadhani sisi wazawa hatuelewi ili hali yeye kumbe ndiye asiyeeleweka. JK atakuwa anahusika kwa namna moja au nyingine kwa kuwa: Maneno aliyokuwa akiniambia mama yangu wakati akiniadhibu yalikuwa haya "kuharibika kwako kitabia aibu yangu mama yako...
Back
Top Bottom