Recent content by kamengezee

  1. kamengezee

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Na hii ndio iliobaki na baadae naenda kuitoa nikalipie cement ya jana
  2. kamengezee

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Haya maisha noma, ngoja niwape mkasa ulionitokea leo kuna wana 2 wananidai 1 ananidai laki na nusu na mwingine laki na 75 hapa nimewazungusha karibia wiki sasa leo baada ya kuchachamaa nikawaambia leo ntawapa, natoa wap cjui, ikabidi niende hardware nikakopa mifuko ya cement kama 25 jumla hapo...
  3. kamengezee

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    sema wa Vietnam wanazinguaga sana
  4. kamengezee

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    naona celta vigo kaamua kuninyima hela
  5. kamengezee

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mm mechi ya Getafe nimeomba goli 1 na celta vigo pia goli moja afu ndo zimebaki hizo tu nile laki na 70 kwa buku 2 jero timu 30 ila kuna kila dalili mkeka kuchanika
  6. kamengezee

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    leo kuna kila dalili VAR ikanikosesha hela kwenye mechi ya Getafe na ile ya celta vigo
  7. kamengezee

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    pole mkuu mm ilibaki mechi ya sevila itoe goli mbili nifunge mahesabu ya mwezi wapuuzi kweli hawa jamaa
  8. kamengezee

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    ile presha acha tu ackwambie mtu yani hata msosi haupiti
  9. kamengezee

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    asikwambie mtu mzee hiyo presha niliipata mwaka 2017 nilitia laki na nusu odds zilikuwa 17 ilibaki timu 1 ipate goli ili itimie 2+ hapo nipo flashscore nimeweka sauti mpaka mwisho kwenye pc ili goli likiingia Nisikie yale makelele ya gori mpaka dk ya 90 ngoma 1 - 0 nikasema bac tena nishaliwa...
Back
Top Bottom