Recent content by Kambaku

  1. Kambaku

    Mtoto wa Museveni Atajiuzulu Ukuu wa Majeshi na Kisha Kuteuliwa Kuwa Makamu Wa RAIS Na Mwaka 2031 Atagombea Urais. Tumejiandaaje Kidiplomasia?

    Unajifanya dondoo za tetesi wakati ni taarifa imetolewa rasmi na Chama chake? Kwamba uonekane CIA au?
  2. Kambaku

    Broo, Ndejembi punguza usera kazini bhana

    Umeongea point Ila na wewe upunguze matumizi ya r asee.... Usera ndio nini mkuu au badara.....
  3. Kambaku

    Kuongezeka nyumba za ibada vs kuongezeka vilabu vya pombe /kamari

    Iran na Afghanistan wanamuogopa na lina hofu ya Mungu kuliko Norway na Finland, wapi kuna amani na utulivu zaidi? Otherwise rekebisha para yako ya mwisho
  4. Kambaku

    TAWA :Ufafanuzi kuhusu raia wa kigeni aliyekamatwa kwenye kiwanja cha ndege Mwanza akiwa na nyara za serikali

    We jamaa habari za faru umepata wapi we jamaa? Umeisoma kweli hiyo barua ya Tawa??
  5. Kambaku

    Israel yatoa ofa kwa Watanzania, Wakenya na Waafrika wengine kuondoka nchini humo kwa hiari

    We funga shangazi kaja yako jiandae uondoke hawakutaki wenyewe huko dogo
  6. Kambaku

    Mwanamke kukwambia shida zake za kipesa dakika chache baada ya tendo, hii imekaaje?

    We una bahati umeombwa baada ya kumla, wenzako wanaombwaga ukimtongoza tu Huyo wako mbona mstaarabu sana huyo
  7. Kambaku

    Wanaume amkeni; mliooa wenye degree wanawafulia nguo ama mmewanunulia washing machine?!

    Mkuu wewe shida yako nguo zifuliwe au mtu afue kwa mkono?? Mke akifua kwa mashine bado hutaki unataka afue kwa mkono, shida haswa nini
  8. Kambaku

    Kigoma: Baba levo awatimua Polisi kwenye michuano yake

    Ngoja tusikie na upande wa pili, unaweza kuta Kibirizi FC ni masela balaa walikamatwa wanavuta bange stendi..... Simuamini Baba Levo, huyu si ndio ile clip alikuwa anagombana na afisa TRA analazimisha aambiwe kosa la gari la yule mwanamuziki kinyume na sheria kisa yeye kiongozi!
  9. Kambaku

    Anakublock kwa deni la 500K, leo anakutumia 5M kwa bahati mbaya ! 🤣

    Ningeenda bar kwanza na hiyo hela nianze kuagiza ninywe akili ikae sawa nijue cha kufanya
  10. Kambaku

    Natafuta mchumba

    Na wewe wale waleee
  11. Kambaku

    Natafuta mchumba

    Acha kukurupuka jomba. Unaamka na matongotongo na andazi mkononi unajibu tu. Huoni kama ka edit baada ya watu kumwambia?
Back
Top Bottom