Acha waendelee, acha kuamulia!!! au umeona FM anashindwa? au wewe mwenyewe ni FM kwa jina lingine?
Huyu FM kila siku anagombana na watu, hasikii haambiliki, nafurahi watu wengi wanavyoona anavyowaza anajua yeye. ana data yeye, msomi yeye, kila kitu yeye, yaani ni yeye tu humu ndani .Huwa nawaza...