Umeandika mengi sana. Naamini Tanzania yenye furaha inakuja..
Hakuna mwenye uwezo wa kuzuia hili lisitokee.
Tanzania siyo miongoni mwa mataifa ya kuyakatia tamaa, na hata hawa waovu hili wanalitambua vyema.
Kwa hiyo uwepo wao ni wa muda mffupi sana, na baada ya hapa, Tanzania itaingia hatua...