Recent content by Kakukebola

  1. Kakukebola

    Nafazi za ajira jeshi la polisi kwa wahitimu wa fani mbalimbali

    Mkuu swali la kimtego hilo mbn..
  2. Kakukebola

    Nafazi za ajira jeshi la polisi kwa wahitimu wa fani mbalimbali

    Daa ningepata mtu wa kuniunganisha na hii kazi ningefanya kwa moyo wangu wote.
  3. Kakukebola

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Kuna watu wanajua na hawasemi..
  4. Kakukebola

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Wakuu simu zimeanza kuita kwa watu wa mtaani au bado mtupe lonja..
  5. Kakukebola

    Kwanini Tanzania inapokea watalii milioni 2 tu?

    Gharama ni kubwa Sana kwenye destination zetu,pia promotions ni ndogo sn pia umbali Kwa baazi ya wageni unachangia.
  6. Kakukebola

    KWA HERI CDM LALA UNONO, UTAAMKA TENA 2030 CHINI YA MWAMBA!

    CDM inasafari ndefu Sanaa kushika dola kwaa huu mpasuko waliounesha ndani lbd kitokea chama kingine mbadala apaaa katikati chenye nguvu.Tofauti na hapo itabaki ndoto
Back
Top Bottom