Recent content by Kakafa

  1. K

    ATCL: Another Richmond!

    Jamani mambo ya nchi hii yanasikitisha, hivyo CHADEMA mnafikiri inaweza kubadilisha hali? Kama wanaweza basi tujitoe tuwape inaweza kutusadia maisha duni ya sisi walalahoi yakaonyesha tofauti.
  2. K

    Community airlines ni ya nani?

    Community airline naifagilia...Lkn nasikia imesimamishwa je ni kweli? Nipasheni basi.
  3. K

    Hatua kwa mafisadi

    Haya wezentu na Dua la kuku, hamna cha hatua wala step ndio imetoka hiyo. Tunasubiri Ma X PM wawili wanyang'anye Uraisi 2015. Aluta.........
  4. K

    "breaking News"-wabunge Wakataa Umbumbu

    Hii kweli inachekesha wawe mbumbu mara ngapi? Unadhani wamebadilika? Hiyo changa la macho.
  5. K

    Kwanini Mkapa na Jitu Patel hawakamatwi?

    kumbe blog hii ina mambo mazuri hivi, kwakweli mkapa kukamatwa sio rahisi halafu na wao wakitoka madarakani iweje?
Back
Top Bottom