Recent content by Kaka yake shetani

  1. Kaka yake shetani

    Serikali ya kenya imemuonya Eric omond na kumkataza kusaidia wenye uhitaji

    Watu wanapitia mateso na serikali ina waangalia tu. Sasa Eric omond na washawish wa mitandao wamekatazwa kutumia njia hii ya kuchangisha na wameambiwa hao wenye matatizo ndio waende serikalini kuomba msaada. Hii ni afrika ya manyani
  2. Kaka yake shetani

    Afande Sele: Niliambiwa Nisizungumzie matukio ya Oktoba 29

    We mtekaji ujambo wa CCM doria mtandaoni
  3. Kaka yake shetani

    Ukweli kuhusu Foleni za Dar es Salaam!

    ujaelewa hapo hiyo picha.Hivyo ni vyama vya siasa ambavyo CCM anavitumia
  4. Kaka yake shetani

    Hivi nchi za Afrika zinatumia script moja au?? 🤔

    Neno ugaidi limekuwa kwa wapinzani na wanaharakati kwa nchi za afrika
  5. Kaka yake shetani

    Serikali tazameni ili kuhusu simu za mikopo zina utapeli mkubwa

    Kuwa tetea watanzania ni ngumu sana kama wewe na mkeo
  6. Kaka yake shetani

    Kujipendekeza mpaka kwenye imani za watu mwisho wa siku kubaya

    Mataamko ya RC Chalamila kukashifu wa Kristo ni dalili mbaya sana .Ila kuna siku tu haya mambo mnayatengeneza kujionesha mpendwe na vyeo vyenu
  7. Kaka yake shetani

    Rais Samia kufanya ziara ya kitaifa nchini Uganda

    Eti kitaifa kwenda uganda.Aisee
  8. Kaka yake shetani

    Serikali tazameni ili kuhusu simu za mikopo zina utapeli mkubwa

    Kuna utapeli nahisi umepewa baraka na hupo tanzania umejificha kwenye mikopo ya simu na vifaa vingine. Embu angalia simu ya laki mbili unalipa laki nane. Hii riba benki kuu wana fahamau
  9. Kaka yake shetani

    Kuna mambo mengine mnaweza kusema iran anavyo jitamba kumbe teknolojia ya nyuklia alipewa zamani na marekani kabla ya mapinduzi.

    Tishio sio tatizo ni pale nimekupa ujuzi .Ndio maana kutwa nzima china kuangaika marekani kujua teknolojia kama anajua si angebaki huko kwake
  10. Kaka yake shetani

    Kuna mambo mengine mnaweza kusema iran anavyo jitamba kumbe teknolojia ya nyuklia alipewa zamani na marekani kabla ya mapinduzi.

    Nimeshindwa kuweka hapa makala video fupi. Ila wachumbuzi wale wakina zungu hata hii teknolojia ukiuliza ilifikaje iran watabaki na kusema maandiko ya dini. Marekani alikuwa rafiki mkubwa iran mpaka kumpa teknolojia kubwa na kuna mataifa walipewa hii teknolojia kwa lengo la kufua umeme. baada...
  11. Kaka yake shetani

    Maraisi wauwaji ni ngumu kutoka madarakani na kama wakichoka huweka watoto wao

    Maraisi wauwaji ni ngumu kutoka madarakani na kama wakichoka wataweka watoto wao au ndugu zao. Hii mtajifunza Rwanda,Uganda na sasa inakuja kwetu.
  12. Kaka yake shetani

    Bwana Aretas James Lyimo jiandae kisaikolojia. Hii nchi hakuna haki wala kunyooka

    Hivi mna kumbukumbu au kazi zenu kufuta akili zenu.Na ili October 29 na uchafu yanatakoea wapi
  13. Kaka yake shetani

    Bwana Aretas James Lyimo jiandae kisaikolojia. Hii nchi hakuna haki wala kunyooka

    Muhusika angekuja kujitingaza.Kajifunze kwanza kwa marehemu amina chifupa au makonda mwisho wa siku
Back
Top Bottom