Recent content by kaka tivi

  1. K

    Mitsubish Pajero

    Mitsubish Pajero 2005
  2. K

    Mitsubish Pajero

    Nazungumzia kama hii Naona ushuru wake una range 15-18M kwa mwaka 2005
  3. K

    Mitsubish Pajero

    Wakuu Naomba kujuzwa gari Mitsubish Pajero linachangamoto gani silioni barabarani ukilinganisha na SUV nyingine na ukiangalia bei yake kitonga. Wataalam naomba udadavuzi wa hili gari. Tafadhali
  4. K

    Magari ya Japan (Japanese used cars) za kununua 2026!

    Hiyo C-HR naitamani sana, ila bei kipengele
  5. K

    Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    Mbona jamaa hajibu maswali aliyokuwa anayahitaji??!
  6. K

    Naomba kujua vigezo vya kujiunga Post Graduate Diploma ya Business

    Nilikuwa na International Advanced Diploma ya NCC
  7. K

    Naomba kujua vigezo vya kujiunga Post Graduate Diploma ya Business

    Labda naomba kuuliza Advanced Diploma ilikuwa ni NTA Level gani? Sababu kwenye NTA Levels sikuhizi hamna Advanced Diploma bali ipo Higher Diploma ambayo ni NTA Level 7
  8. K

    Naomba kujua vigezo vya kujiunga Post Graduate Diploma ya Business

    TCU walikataa kufanya evaluation kwa sababu chuo kilikuwa chini ya NACTE Chuo kilifanya tu collaboration na Greenwich sikukwea pipa kwenda kusoma UK
  9. K

    Naomba kujua vigezo vya kujiunga Post Graduate Diploma ya Business

    Nilisomea hapa hapa Tanzania Nilipata Bachelor ya Business Information Technology ya University of Greenwich, baada ya kufanya Award Evaluation NACTE wakanipatia hiyo Higher Diploma
  10. K

    Naomba kujua vigezo vya kujiunga Post Graduate Diploma ya Business

    Asante kwa jibu, vyuo gani naweza kwenda kusoma kwa msaada zaidi
Back
Top Bottom