Recent content by kadiri kasimba

  1. kadiri kasimba

    Ushauri wa haraka unahitajika wakuu

    Mwanamke anayetaka kurudiana naye ni single mother wa mtoto wake pamoja na aliyemzaa akiwa kwenye ndoa
  2. kadiri kasimba

    Ushauri wa haraka unahitajika wakuu

    Hapana me nna wajukuu saiv ni mdau ameiomba ushauri nami nikaona nilete humu Mkuu
  3. kadiri kasimba

    Ushauri wa haraka unahitajika wakuu

    😅😅😅Fafanua baba mtakatifu
  4. kadiri kasimba

    Ushauri wa haraka unahitajika wakuu

    Nafikisha Mkuu subiri mrejesho tu😅😅
  5. kadiri kasimba

    Ushauri wa haraka unahitajika wakuu

    Asante kwa ushauri mkuu!
  6. kadiri kasimba

    Ushauri wa haraka unahitajika wakuu

    Salamu wakuu na poleni na majukumu Bila kupoteza muda kuna mdau anaomba ushauri Ipo hv kijana alianza maisha DSM akabahatika kuanzisha mahusiano na binti mmoja japo hawakuwahi kuishi wote wawili ila alimpa ujauzito na binti alienda kwao na kuendelea kulea mimba (pekee yake) Na muda ulipita na...
  7. kadiri kasimba

    Ni michezo gani ya hatari uliwahi kufanya ili utoboe kimaisha?

    Kupanda jahazi kutoka bagamoyo,Kunduchi,na mbweni kwenda Zanzibar kwenda kununua betri tiger, tv za chogo,sukari,radio,na na fridge tena nauli ilikuwa 3000 Kwenye jahazi hapo inabidi ukaze roho maana mara umepigwa na wimbi maji yanaanza kuingia ndani, mnaanza kuchota na kutoa nnje yaani full...
  8. kadiri kasimba

    Naomba kufahamishwa Hotel or lodge, Airbnb nzuri kwa Dar

    Diary hotel kawe wapo vizuri 0696 073480.
  9. kadiri kasimba

    Hii kitaalam inaitwaje wakuu?

  10. kadiri kasimba

    Msaada gharama za kuanza clinic

    Hili ulitakiwa kiliwaza kabla hujabeba huo ujauzito, hapa Kuna kila dalili ya single mother mtarajiwa!
Back
Top Bottom