Recent content by kaburungu

  1. kaburungu

    Machafuko ya ukanda wa maziwa makuu ni makosa ya sera za Julius Nyerere

    Umenikumbusha JMali, muda mrefu sana sijaona bandiko lake. Angalau MALCOM LUMUMBA anarudisha ladha japo kwa mbinde sana
  2. kaburungu

    Tetesi: Bei mpya za vifurushi vipya vya DStv

    Aisee wewe ndio mimi napenda sana zile makala ID na pia kuna CBS justice halafu ndio nakuja kwenye michezo sasa. Ila jamaa wa ID ukizoea kuwaangalia utaona bongo kwenye investigation safari bado ipo sana
  3. kaburungu

    Mchele mzuri unaonukia saro gredi one unapatikana kwetu

    Kwenye kiganja mbona kama umekatika sana
  4. kaburungu

    Duh mwamba kakutwa kiwili wili tu, kichwa hakipo!

    Mbona kama unasifia uharamia huu??
  5. kaburungu

    Usianze ujenzi kama hujafahamu haya machache

    Mkuu uko sahihi lakini 85% ya waliojenga hawakufuta hii ramani yako nikiwemo mimi.
  6. kaburungu

    Hivi kuna watu mpaka leo wanatumia mabando ya 2100?

    Unaweza ila akicheki kwenye user ambao wako registerd atagundua hao uliowa hotspot anawaondoa kisha anabadili nywila. Akibadili nywila na kwako inakata utamrudia tu. Kwenye biashara kulipa hili sijui kwa sababu sijawahi kufanya hiyo biashara.
  7. kaburungu

    Hivi kuna watu mpaka leo wanatumia mabando ya 2100?

    Oukey hili sikua nalitambua mkuu, asante kwa taarifa
  8. kaburungu

    Hivi kuna watu mpaka leo wanatumia mabando ya 2100?

    Au vile ni pocket WiFi ndio maana unauza 140K kuna zile router nilinunua kwa 105K nailipia 70K iko safi tu speed nzuri kwa matumizi
  9. kaburungu

    Hivi duniani kuna mdudu msumbufu kama KUNGUNI?

    Nachojua anaweza kuishi muda mrefu sana hata asipopata damu
  10. kaburungu

    Samia Suluhu apewe maua yake barabara ya Singida - Kateshi. Kazi na Utu - tunasonga mbele...

    Heshima yako mkuu... 1982 hata sikuwepo duniani..damn!!! kumbe hii forum iko na malegendi.
  11. kaburungu

    Samia Suluhu apewe maua yake barabara ya Singida - Kateshi. Kazi na Utu - tunasonga mbele...

    Wakati wa bunge la bajeti sijui kama bado linaendelea sababu sina interest na bunge. Mbunge Msukuma alilalama sana kuwa barabara zina hali mbaya nchi nzima. Sasa kuna kipande kama ambavyo umeweka kwenye hii clip kipande chenyewe ni kuanzia Mpwapwa kuelekea Iringa kupitia Mtera,tena hata kabla...
Back
Top Bottom