Mimi si mwanauchumi lakini siamini kama kuna wateja binafsi wa kutosha kununua T-bonds za $250. T-bonds kawaida zina-mature miaka 20 hadi 30. Hizi huja na political risk kubwa. Mara nyingi serikali ya Tz huuza kwa wananchi T-bills ambazo huwa za muda mfupi hata miezi 6 au mwaka. Hizi zinapatika...
The underlying OS behind Mac OS is Linux/Unix. Ku-reset password:
-While rebooting hold down cmd-S
-At a single user prompt type "/etc/rc" and hit return
-Type "passwd" and hit return
-Enter your new password (the system will prompt you to enter 2 times)
-Type "Exit"
All done
¬K
Why not? - Joomla architecture is very scallable. Why re-invent the wheel when you can take advantage of Joomla PHP enviroment to customize your site?
¬K
Kama huna haraka mimi naweza kukusaidia ila kiwango kisiwe kikubwa. Ndani ya mwezi mmoja nategemea kutuma mzigo kutoka marekani kuelekea Zanzibar. Nijulishe kama huo muda unakubalika na pia kiasi gani unahitaji.
¬K
I'm not sure how close to the actual bill you want this number to be but more information is needed to get the exact cost. I'm going to make few assumptions here to point you in the right direction(I'm no expert in this field)
Per Tanesco's website and using tarrif 2 numbers:
Service Charge...
Hapana, hiyo bulb ni pilot na mara nyingi hutumika kupoteza umeme wa ziada wakati battery zimejaa charge. Bulb zote za nyumbani zinatumia umeme wa AC.
Umeme unaotoka kwenye inverter ndio unaelekea kwenye circuit ya nyumba na una-power vifaa nyote vya nyumbani.
¬K
Kwa kweli sina uhakika gharama yote ni Tsh ngapi kwa vile sijawahi kununua hivi vifaa bongo na hivi sasa sipo hapo. Nategemea kuna watu humu wanaweza kukupatia Tsh ngapi.
Mimi nilimwekea mzee wangu mwaka jana lakini vitu vyote nilitoa Marekani ilinigharimu $1,100. Hii niliifanya grid-tied...
Circuit setup ya solar na wind zipo sawa. Tofauti ni gharama na vipi umeme unazalishwa. Wind turbine inazalisha umeme kutoka kinetic energy ya mzunguko wa turbine. Kama unaishi sehemu yenye speed nzuri ya upepo wind turbine ni bora kuliko solar. Ni rahisi kutengeneza wind turbine kwa kutumia...
Hapana, hizi ni lead-acid batteries na zinadumu miaka mingi tu. Unatakiwa uzitunze kwa kujaza acid (electrolyte) kila baada ya muda kidogo.
Hizi zinaitwa deep-cycle batteries kidogo tofauti na battery za gari. Tofauti yake ni upana wa plates lakini zinatumia the same chemistry kufanya kazi.
¬K
Ni kweli kwanza inabidi ujue watts ngapi unahitaji. Rahisi kukadiria hizi kwa sababu vifaa vyote vya umeme huandikwa watts zake (au Amps na Volts - Ohm's law itakupatia Watts)
Nyumba ndogo inahitaji kama 3KWatt (nakisia hapa inategeme vifaa). Kwa kweli ni gharama kubwa kujitegemea kiumeme...
Hizo facts(Minaret, Catoon, Van Gogh...) haziko kwenye bigger picture ya kuizuiwa Turkey kujiunga na shirikisho. Hizo ni overblown stories zinazocheza vizuri kwenye 24/7 media na wakati wa uchaguzi. Kwa kweli hizo facts zina-support Turkey kujiunga na europe kwa sababu europe hawana njia ya...
Wadau don't get too excited - this is more of a conceptual prototype than an actual finished product. We are several years away to even get close to having something useable that resemble what is presented in this video. There are many technologies that work in parallel to make this whole...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.