Recent content by k-bee

  1. k-bee

    Njombe: Ajinyonga hadi kufa kwa kunyimwa unyumba na mkewe ambaye alidai mume hajaokoka

    Ningekuwa Mwenyekiti wa kijiji ningeamulu maiti yake ipigwe viboko 20 kwa kutudharirisha wanaume.....!! Kisa mbususu unajiua daaah..!! Huyo jamaa huwa haudhurii vikao vyetu vya wanaume kabisa..!! Huyo mama naye nadhani hajui maana ya "kuokoka"
  2. k-bee

    Naombeni msaada kwenye jambo langu na Bima ya afya

    Kivyake kivp yaan??? Fafanua tupate ufahamu wengi
  3. k-bee

    Nini ishara ya Kuzingirwa na Nyuki na king'atwa

    Skumbuki vizur sehemu ya kunga'twa ila ni wachache ndio walining'ata
  4. k-bee

    Nini ishara ya Kuzingirwa na Nyuki na king'atwa

    Daaah!! Hiv na profile picture ina nyuki na jina la nyuki.....but haviusian.!! Nimekuwa nkiota ndoto nying na nyingine zimetokea hasa zile positive na negative nimekuwa nikiziombea kufuta matokeo yake ila hii inanitafakarisha sana
  5. k-bee

    Nini ishara ya Kuzingirwa na Nyuki na king'atwa

    Unaweza kuidadafua vizuri🤔
  6. k-bee

    Nini ishara ya Kuzingirwa na Nyuki na king'atwa

    Acha roho mbaya..... Mkuu experience yako ni ipi tujuze🤔
  7. k-bee

    Nini ishara ya Kuzingirwa na Nyuki na king'atwa

    Acha roho mbaya.....!!!
  8. k-bee

    Nini ishara ya Kuzingirwa na Nyuki na king'atwa

    WanaJamvi natumai mwaendelea vyema...! Mimi ni mkristo na juzi kati nimeota ndoto nimezingirwa na nyuki wakubwa na wadogo na nikataka kukimbilia ndani nikasema nikiingia ndani naonwataingia ndani so wataleta shida nkarudi nilipokuwepo nikang'atwa na baadhi ya nyuki...!! Nikazinduka...
  9. k-bee

    Kwa connection ile ya Harmonize mvua za El Nino zikija tutapona kweli?

    Nchi imejaa laana na maagent wa kuzimu..!!! Jiombee wewe na uzao wako Mungu awashike mkono....!! But kwa kufunga na kuomba yote yanawezekana Mungu ataliponya Taifa....Tusali..tusali...tusali Mungu anaweza yote
  10. k-bee

    Kama Mshana Jr vile

    Mwanakulitafuta....mwanakulipata
  11. k-bee

    Hivi ndivyo marafiki zako watamfariji mkeo, siku ya msiba wako.

    Sona mkeo kuna wana wanaCHAPA wanalamba sukari😉
  12. k-bee

    Mkutano wa Beijing 1998 umetuharibia wake zetu

    WanaJamvi muhali gani...! Kumekuwa na matukio mbalimbali ya kuhusu mgongano wa jinsi baina ya ME na KE na changamoto kubwa baina yao ni KE kutaka kuonekana. Mwaka 1998 kulifanyika mkutano mkubwa wa akina mama huko CHINA BEIJING na kauli mbiu kuu ni "Haki sawa maisha ni 50/50 hahhahahha na...
  13. k-bee

    YouTube kwisha Habari yake imepata mpinzani balaa

    Mkuu unaipakuaje hii mana nmejaribu lakin nmeshindwa
  14. k-bee

    Hii bandika bandua kunani jikoni

    Viligua tuelewe sote....!!
Back
Top Bottom