Kuweni wawazi mnapotoa mawzo yenu,kuna kitu mnakificha huu si wakati wakuficha ficha nyinyi vipi sio wakweli kabisa? Nyinyi humu JF wengi wenu mmeenda shule lakini inaonekana uelewa wenu ni mdogo sana! lakini ndo watanganyika wengi mlivo ni watu wa mihemko(emotional) tazameni us election 2008...
Hahahahahaha!!!!!!!!!!!!!!!!!Ama kweli mkuki kwa nguruwe kwa binaadamu mchungu ivo sio nyinyi wakina RAMOS mliokuwa mnapiga kelele ya kuwa cuf chama cha kiislaam sasa kuna ubaya gani kuambiwa chadema chama KATOLIKI? Jamani jamani uwo ndo ukweli mliandika,mlipiga kelele, makahubiri...
Ni wazo zuri la kuungana lakini mimi simuamini vizuri Dr.Slaa namuona kama sio mtu makini sana siasa zke mara nyingi ni za mihemkwo(emotional) kama za kina kilango,sendeka na wengine ambao hujali zaidi misifa kuliko nchi ingawa zinasaidia kiasi.Wakristo wengi wasiomakini na walewachangiaji ambao...
Hakika WZNZ tumeshachoka na wabara kwanza wanasifa kuu tatu ni wahemkwaji,wabaguzi na wadini,mimi niko bara nafanya kazi bosi wangu ata hajifichi ananibaguwa wazi wazi .halafu nimesahau moja wabara hawafanyi kazi mpaka wasukumwe(pushed0 dah!!!!!!!!!!!!!!!,ninampango wakuacha kazi ukifanya kazi...
Wewe ata ukahificha vipi inaonekana wazi wewe ni mnyamwezi tuuu yaani ITU LA BARA. NA UMEUMIA SANA NAHISTORIA YA ZNZ KWA TAARIFA YAKO HII SI HISTORIA MPYA LABDA MPYA KWAKO NA NILAZIMA ITAKUWA MPYA KWAKO KWA SABABU WEWE SI MZANZIBARI NA UKIWA NI MNZANZIBARI BASI UTAKUWA NI KUTOKA BARA TENA...
Nakusikitikia sana mpaka leo unamawazo finyu na mafupi kiasi hichi Wazanzibari ni waelewa kuliko yoyote Africa kumbuka ndio ambao wamekufungua macho wewe na wazee wako mafika sehemu angalau mnaweza kutamka neno fisadi bila ya kuogopa vitisho POLE SAMAKI WEWE!@
Sorry huwa sipendi sana kuongea ili ambalo nalindika NA kwa kweli nasikitika kuongea hivi ila ni ukweli usiopingika kwamba watu wa bara(WANYAMWEZI au WATANGANYIKA)kawaida yenu huwa hamuna maoni mazuri juu ya ZNZ sababu mnazijua wenyewe na mtazikwa nazo.mimi ninavojua mnaroho mbaya na niwachoyo...
Unakosea kibunango hiyo ndio historia mliolishwa na kina nyerere na ninaamini huwezi kubadilika kwa sababu umepindwa na kufinyangwa uwe hivo licha ya maovu yote aliyoyafanya nyerere katika nchi hii mpaka leo unaamini nyerere ni hero of this country maskini roho yako unapotea kaka.Enzi za utumwa...
Tatizo lako mwanakijiji ni tatizo ambalo watanganyika wengi mnalo hamuijui historia ya zanzibar na napata wasiwasi hata yenu ya tanganyika hamuijui nyinyi mnamjua nyerere tu.na ikitajwa historia ya zanzibar ni utumwa tu.Historia ya zanzibar haihusiani kabisa na utumwa mtu mweusi hakuingia...
Dah!We boramaisha ni mjinga kweli pumbavu yabisi wewe nyerere ndo alieiharibu nchi hii yeye ndie chimbuko la mafisadi wa nchi hii,amani ya watanzania ni nature yao .kaa kimya kam huna la kusema au wewe ndio kina ole sendeka wapumbavu wanaohemkwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.