Miaka hiyo pia Serikali ilikuwa inasomesha Watanzania nje ya nchi na wakirudi wanasaidia jamii ya Watanzania kulingana na taaluma aliyo ipata huko nje, siku hizi hakuna kitu kama hicho wengi ni wabinafsi na wezi wa Mali ya umma. Mambo yamebadilika kwa kasi sana.
Moja ya jambo nililo jifunza ktk episode ya 59 ni usia alio utoa mama Insider kwa Insider kuwa Prisca aachane nae kwa sbb atakuja kumletea matatizo makubwa, hilo limeanza kujitokeza na Insider asipokuwa makini na huyo Prisca utabili wa mama Insider utatimia. Tatizo letu sisi vijana wanapo kuzuia...
Kati ya jambo ulilo nifurahisha ni msimamo wa uamuzi wa kutokwenda na Prisca pale Iryin apokuwa anakisubili, mwanaume mara nyingine unatakiwa kuwa mkorofi kwa muda na kuamua maamuzi magumu yenye faida kwa maisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.