watawala wamekosa hoja za kumjibu warioba na tume yake,wameamua kumtumia huyu shivji!!arudi kwao india,asituchanganye,ni serikali tatu,wakilazimisha mbili ni sawa,lakini ziwe ni ya tanganyika na ya zanzibar
well said.nilikua siamini kama zzk anakisaliti chama,ila kwa mlolongo wa matukio tangu alipovuliwa uongozi hadi matokeo ya kesi aliyokifungulia chama,kila kitu kimekua wazi,amejivua nguo,anajimaliza kisiasa,muda si mrefu atakua kwenye level ya mzee lyatonga au chini zaidi.
Mkuu hoteli inaitwa malaika,si malkia,halafu cha kushangaza barabara ya kuelekea hapo imejengwa kwa kiwango cha lami,wakiiacha barabara ya kwenda kiseke,kwenye wakazi wengi,na nyumba za ppf,japo wamelalamika kwa muda mrefu!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.