Recent content by June

  1. June

    HOJA Ajira mpya Serikalini tunapiga tu story ofisini, hakuna kazi za kufanya

    Endelea kumpa madini mtaalam, hajui kama bado kaandikwa kwa penseli
  2. June

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Nilikuwa nikifanya mchezo wa hatari, nilikuwa nikiweka alarm tarehe ya deadline. Ikiita ndio na edit na ku upload barua [emoji23]
  3. June

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mimi nilikuwa naendelea na shughuli zangu kama kawaida , ikifika jioni muda wa kupunzika ndio naingia humu jamii forum, nikiona wadau wanasema kuna mkeka umetoka ndio naingia sasa kwenye website yao kuangalia jina langu.Sikua na utaratibu wakuingia kule bila kupitia humu. Weka utaratibu kila...
  4. June

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongera na karibu tulitumikie taifa
  5. June

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kuwa mvumilivu, niliomba ajira mwezi wa sita , interview nikafanya mwezi wa 11 , placement nikapata mwezi wa tano baada ya mwaka kupinduka, ajira rasmi nikaanza mwezi wa sita.
Back
Top Bottom