Recent content by JUICE BOY

  1. J

    Lembeli: Ukitaka kuona 'nyeti' za kuku subiri apulizwe na Upepo

    Lakini kwa upande wangu cjaona kibaya alichoongea Lembeli...ametumia msamiati tuu na ndiyo unakuchanganya. Alimaanisha wakati ukifika maovu yote ya chama tawala yatawekwa wazi... hajamtuc mtu hataa[emoji17] [emoji17]
  2. J

    Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

    Mmmmh.....kwa utafiti wangu nimegundua hzo picha ni za watu wawili tena wenye umri tofauti....naanza kupata wasiwasi juu ya hili
  3. J

    Kutoka Dodoma: Fedha za kuhonga wajumbe wa NEC ya CCM zakamatwa!

    Kwa mtu mtafutaji angeweza kufanya chochote kujikwamua. Hakika atabaki kama alivyo[emoji3]
  4. J

    Ujumbe alioutuma Mh. Selasini muda mfupi kabla hajapata ajali Bomang'ombe

    Tuangalie ni mua gani ametumia kuyafanya hayo aloyafanya na je anamuda gani mbele kuyafanya yajayo na c kujadili mickit na makanisa
  5. J

    Ujumbe alioutuma Mh. Selasini muda mfupi kabla hajapata ajali Bomang'ombe

    Kwahiyo maendeleo ni kujenga nyumba ya shekh au imamu? Tuache udini
Back
Top Bottom