Recent content by juergen hinder

  1. juergen hinder

    Nitaweza kujenga nyumba kwa Milioni tatu?

    Jenga choo mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. juergen hinder

    Tupia broken english yako hapa

    Jamaa alikuwa house boy kwa mzungu sasa alitumwa apeleke soup njiani mbwa akambwekea supu ikamwagika.jinsi alivyomueleza mzungu The dog wuwuu the sahani ngerengere the mchuzi mwaaa
  3. juergen hinder

    Mfahamu Reinhard Bonnke: Mhubiri aliyetikisa dunia

    Nadhani na mm nilikuwepo na mkutano ulifanyika nje ya uwanja na siyo ndani
  4. juergen hinder

    Nguvu ya elimu katika medani za ujasusi na ulinzi: Tanzania tuna nini cha kujifunza?

    Hapo pakupunguza mwaka mmoja wa msingi na kusoma kiingereza nimekuelewa sana aisee natamani na viongozi wengine wakuelewe
  5. juergen hinder

    Kama simu yako ni original chora huu mstari

    _____________________
  6. juergen hinder

    Tigo mtandao pekee unaotuma SMS ya kawaida leo inafika kesho

    kweli huu mtandao unasikitisha sana
  7. juergen hinder

    Anayehitaji Computer Software aina yoyote tuwasiliane!

    Natafuta software ya kucontrol matumizi ya bundle Kwenye Internet mana Nina Internet cafe Sent from my iPad using
  8. juergen hinder

    Naombeni msaada kuhusu Open University

    Impetuous mbaya mm nafanya masters hapo Sent from my iPad using JamiiForums
  9. juergen hinder

    Msaada unahitajika

    Naomba Msaada wa mtu aliyebobea katika kuandaa/kuandika project desertation za kozi ya MCED open university.kama unaweza naomba uni inbox malipo mazuri yatatolewa. Sent from my iPad using JamiiForums
  10. juergen hinder

    Henry Kilewo: Maadui zangu wasisogelee mwili wangu siku nikitoweka Duniani

    Itasaidia nn sasa Sent from my iPad using JamiiForums
Back
Top Bottom