Baba mzazi wa Kanumba anaeishi Shinyanga ambae alishindwa kuja msibani kutokana na kuumwa, amezungumza na kusema kwamba sasa yuko tayari kuja Dar es salaam kushughulikia swala la Mirathi baada ya kudai kwamba mama mzazi wa Kanumba ambae yuko Dar ameanza kuharibu kuhusu ishu ya...
Ni zaidi ya nusu karne tokea mwaka 1960 uitwe mwaka wa Afrika.
Katika kipindi hiki Afrika imeshuhudia ustawi wa kujivunia lakini pia imelia na kusaga meno kwa udhalimu na maangazi makubwa dhidi ya watu wake.
Afrika imeongozwa na viongozi wema na waadilifu kama Mwalimu Nyerere, Kwame...
Aliyekuwa Waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Brigedia Jenerali, Adam clement Mwakanjuki amefariki dunia katika hospitali ya Lugalo Jijini Dar es Salaam. Marehemu Mwakanjuki amefariki duani jana Alaasiri baada ya kuugua kwa mfupi. Hata hivyo haikuelezwa alikuwa...
IN THE HIGH COURT OF TANZANIA
AT ARUSHA
MISCELLANEOUS CIVIL CAUSE NO. 13 OF 2010
(IN THE MATTER OF AN ELECTION PETITION UNDER THE NATIONAL ELECTION ACT CAP 348 R.E. 2010 AND THE PETITION RULES, 2010)
MUSA HAMISI MKANGA . . . . . . . . . . . . . . . .1ST PETITIONER
AGNES GIDION MOLLEL ...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa NEC Chama cha Mapinduzi (CCM)Bw.Nape Nnauye(Pichani) ametoa tamko muda mfupi baada ya Mwenyekiti wa UVCCM, Mkoa wa Arusha James Millya kujiunga na CHADEMA na Kusema :
'' Nampongeza Millya kwa kuamua kukisaidia Chama Changu, kwani alishakuwa mzigo mkubwa...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, kaburi la aliyekuwa nguli wa filamu za Kibongo, marehemu Steven Charles Kanumba The Great limeanza kuweka nyufa na kutitia ikiwa ni siku 5 tu tangu alipozikwa, Ijumaa Wikienda limelishuhudia.
Mwishoni mwa wiki iliyopita, waandishi waetu walifika...
RIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imeisonda kidole Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro inayoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Pius Msekwa kwa kuingilia utendaji wa Bodi ya Hifadhi hivyo kuipunguzia uhuru menejimenti ya hifadhi hiyo...
UPDATE MPYA :Audio ya BBC Swahili kipindi cha Dira ya Dunia walipohojiana na Godbless Lema na kupata maoni ya Wananchi wa Arusha
UPDATEMPYA :Maoni ya Godbless Lema na Wananchi wa Arusha Mjini baada ya kusikia habari za kuenguliwa Mbunge wao. Imerekodiwa kutoka CloudsFM radio, saa moja...
JINA LA SCHOLARSHIP: Macquarie University International Scholarship
UTANGULIZI:
Macquarie University International Scholarship (MUIS) ni scholarship kwa ajili ya wanafunzi wa shahada ya kwanza(undergraduate) na shahada ya pili kwa mwaka wa masomo wa 2012/2013
NI MASOMO GANI...
My USB thumb drive got infected by a trojan virus. All folders in the thumb drive had become shortcuts!
From the properties, the shortcut folder is pointing to 0x29ACAAD1.exe file. Kaspersky detects it as Trojan.Win32.VBKrypt.cvcu, and 35 out of 42 antivirus companies confirmed that it is a...
Girlfriend wangu alijikuta mnyonge baada ya kukuta mafile yake yote ya Final year project yaliyokuwa kwenye flash hayapo.Alimshika shati rafiki yake akidhani pengine aliyafuta......
Baada ya kucheck kwa makini,niligundua kuwa yale mafile yapo ila yamefichwa na kirusi.Basi nikamwambie,bibie...
NILIPOKUWA "NA SURF" NILIFANIKIWA KUKUTANA NA HUYU MHINDI WA MODEM
By default, Huawei E220 can only support up to 3.6Mbps speed. In Malaysia, 3.6Mbps is the top speed that 3.5G broadband users can get. But the truth is, it is just a fantasy. No one will get that speed.
By default...
KATIKA PITA PITA YANGU NILIKUTANA NA HUYU MHINDI
Huawei modems comes with mobile partner default dashboard but it comes with outdated version here i am going to provide you latest version of mobile partner dashboard which version is 21.003.27.00.03. you can find cool features included in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.