Hivi habari kama hiyo isiyoeleweka, wala kuwa na ushahidi inapataje nafasi humu?? Napata shida kuwa mwishowe hili litakuwa jamvi la kila mwenye hisia tofauti na mtu then ni sehemu yake (jukwaa lake). Hembu toa maelezo ya maana yenye ushahidi tuelewe unamaanisha nn!
uchimbaji wa uranium hauhusishi milipuko yeyote. geology ya formation yake ni purely kwenye soft rocks. napata wasiwasi na kwamba taarifa hizi ni za kweli au ushabiki zaidi.
kuna ubaya gani?? its an employment oppurtunity ambayo anadhani anaiweza na jamaa anaihitaji.barrick wamefika lini nchini?? je yeye alikuwa nani wakati huo??
Vilevile kumbuka Ole naiko ni mdau mkubwa wa sector ya madini. ndiyo proffesion yake na amekuwa manager wa miradi mingi tu ya serikali ya...
We nafasi yako ni kuandika tu hapa jamii forums, hakuna aliyediriki kwenda mbele zaidi ya kuandika tu pale alipookotwa kule porini. Cha ajabu akiwa kwenye khali ile madaktari wote wakatii amri na kurudi kazini. Nani kamsaliti mwenzie?? Tusiwe wanafiki. Ulimboka fanya shughuli zako nyingine, hii...
Nadhani unamaanisha mining industry Tanzania should employ only foreigners and those are the one to appreciate growth. I think we should take mining oppurtunities kama oppurtunities nyingine zezote za employment na we shouls support and congraturate wale watanzania wachache wanao grow kinafasi...
Wana jamvi! Msaada tutani.
Hv kitendo cha kupiga kura ya kumchagua rais je nikumpa ajira asimamie chombo chetu kinachoitwa serikali au ni kumpa ruksa ya yeye kuwa mtawala wetu?? Its serious naitaji msaada. Inanichanganya kidogo.
Pili: mbunge ni kiongozi au ni muwakilishi wa wananchi tu...
No matter what, I still believe on Mkapa's capacity. Hv kwa khali ya mashirika ilivyokuwa yalikuwa yakisurvive kwa ruzuku ya serikali.mishahara ilikuwa 3yrs watu hawajapata mishahara. Serikali haipati kodi unadhani yangekuwa wapi leo hiii??
Na hayo mnayosema yalikuwa yanaenda vizuri mlitaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.