Recent content by Joy1981

  1. Joy1981

    Unhappily married ever after..........

    Its a high time that you realize that she is not yours! You just switch off to open handed ladies like me....welcome for rest and happiness and satisfaction ofcourse!! halo halooooooo:violin:
  2. Joy1981

    Ili Usitoe Pesa kwa trafick police fanya hivi!

    Nawapongeza wana JF kwa kujadili mada hii ambayo kwakweli dereva yeyote lazima anajua tamu na chungu yake. Cha muhimu unapokutana na traffic kwanza lazima uthamini kazi yake kinyume na madereva wengi ambao ni mabosi kwa namna nyingine. Kuwajibu kwa jeuri hata kama unatambua kuwa una makosa. Pili...
  3. Joy1981

    Shitambala ajibu agizo la Dr. Slaa

    mi naona ni vema wakamwacha bwana shitambala akajiuzuru kwani akiendelea kukalia kiti chake wakati uchunguzi unaendelea hakutakuwa na haki yoyote itakayotendeka. CDM siyo shitambala pekee. Apishe wengine washike usukani nauhakika tutafika. Pia ni vema wale wote wanaodhaniwa hawafai kuwepo kwenye...
  4. Joy1981

    Mapenzi ni nini hasa?

    stori na majambozi:peep:
  5. Joy1981

    GE2010 Jaji Werema jiuzulu, umevunja katiba

    Siyo Mr slaa ni Dr Slaa umekosea
  6. Joy1981

    Wachaga na stout.

    stout ina represent prosperity kama hujui.:lying:
  7. Joy1981

    Ladies only - Win a date with Ngabu

    kasheshee. mi sifa zangu ntakwambia kweny sim kama utanipigia:hippie:
  8. Joy1981

    GE2010 Jaji Werema jiuzulu, umevunja katiba

    Jaji werema kafuliaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  9. Joy1981

    GE2010 Je Sitta Kuruhusu mijadala ya Ufisadi Bungeni ni Ujasiri Au Udhaifu..

    Hapo chacha. no comment at oll..........
  10. Joy1981

    Waandishi wa UHURU na HABARI LEO WALIKUWEPO?

    Ndo mana ukienda kwenye vibanda vya magazeti utayakuta yamejaa tele hata ya juzi! nani anunue? mi aku!:nono:
  11. Joy1981

    Baada ya kumkataa Rais

    Sokomoko na Marshal tumieni akili pia hamruhusiwi kusema chochote kama hamna vielelezo (facts). Je nyie siyo wafuatiliaji wa masuala ya siasa au ni wasahaulifu kupindukia?? Hamkumbuki kuwa Dr Slaa (PhD) aliwashauri BABA ZENU NEC wasitishe kutangaza matokeo ya uchaguzi? je kuna yeyote...
  12. Joy1981

    GE2010 Jaji Werema jiuzulu, umevunja katiba

    Mh hata mi nimeipenda pia usisahau akina LapKenge Hosea ttkr teh teh teh:rain:
  13. Joy1981

    GE2010 Jaji Werema jiuzulu, umevunja katiba

    Ukitenda mema wataku-jaji kwa mema uliyotenda. nafikiri hujaelewa vizuri motion:tape::tape::tape::tape:
  14. Joy1981

    GE2010 BUNGENI: Upinzani upo ndani ya kambi ya upinzani?

    :A S-cry: Inatia uchungu mwanzoni unapogundua kuwa upo pekee yako wkt ulizani mpo wengi..... lakini bdae inabidi kuwa jasiri....nna hakika CHADEMA ndicho chama cha ushindani pekee. inachotakiwa kufanya ni kujipanga kufanya operation :horn:nyingi ktk kanda zote hasa vijijini, mjini wameshaiva...
  15. Joy1981

    Wapi Mduara

    Ndo pbs zenu hizo. kumbe ulikuwa mtego ili upate wa kuvinjari naye hapo umechemsha..mi nilizani ni dansi tu hafu kila mtu zake 50 km ndo hvo akuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu:nono::nono:
Back
Top Bottom