Recent content by Joustan p

  1. J

    Nahitaji msaada: Uume hausimami wakati wa tendo hadi nipige punyeto

    1) Wakati huo huwa hainijii taswira akilini bali nkimuangalia yeye tu alivyo na hata kama taswira nkiitumia japo mara chache basi huwa ni ya kwake ila mara nyingi huwa nikimtazama na kumpapasa 2) Njia nyingine kwakweli hapana sina, ndio maana nimeomba ushauri. 3) Nimeanza kuligundua mwaka jana...
  2. J

    Nahitaji msaada: Uume hausimami wakati wa tendo hadi nipige punyeto

    Ni kweli ila mda mwingine unaamka unastress sana za hzi mambo hataasubuh znapo niamsha hz stress hata kupata iyo morning wood kuipata n ngum
  3. J

    Nahitaji msaada: Uume hausimami wakati wa tendo hadi nipige punyeto

    Kitendo cha mimi kumuona tu inasimama au kuwa karbu na mm na kunishika tu pia mambo huwa yanakaa vzur inasimama vzur tu ila changamoto inatokea pale ninapohitqji kufanya sas kwenye tendo lenyewe huwa inanywea na pia haya mambo mm nlichelew kidogo kuyaanza nimeyaamza nkiwa na umri wa miaka 25yrs...
  4. J

    Nahitaji msaada: Uume hausimami wakati wa tendo hadi nipige punyeto

    Inatokea maramoja moja morning wood japo si kila siku
  5. J

    Nahitaji msaada: Uume hausimami wakati wa tendo hadi nipige punyeto

    Nina miaka 26yrs Nimekuwa ninachangamoto ya kusimamisha uume wakat wa tendo kwa muda mrefu, na inapofika wakati wa tendo, mara nyingine inanibidi nianze kujipapasa mwenyewe. Yaani inabidi nifanye kama napiga punyeto ili uume usimame na huchukua muda mfupi sana kusimamisha. Endapo nikitumia...
  6. J

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Aa sawa, maana nimepigiwa wakaniambia ivyo, ila nashkuru kaka kuwa kunifahamish na tayr wamenitumia leo hii barua ya kazi. Nashkur
  7. J

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wakubwa habar zenu, with all due respect, nlikua naomba kueleweshwa kidogo kuhusu hizi kazi za utumishi wa mahakama, mwezi June 2025 zilitoka kazi kutoka utumishi wa mahakama, na wakaita watu katika usaili mimi pia nilibahatika kuitwa niliomba kada ya assistant record management, ilikuwq ni...
Back
Top Bottom