Kichwa cha habari na mada vinagongana. Kichwa kinasema sababu za Tanzania "kushinda.....hizi hapa", somo la ndani Tanzania tusiende ICJ!
Is it me, who see this alone?
Breaking news:
Kamati ya Bunge Ardhi Maliasili na Mazingira imeamuru jengo pacha na liliporomoka linalo milikiwa na mbia yule yule na NHC libomolewe ndani ya siku 4
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo Mh James Lembeli baada ya kutembelea jengo lililobomoka leo.
Katiaka ziara hiyo...
Chama kina utaratibu wake wa kushughulikia haya, tuwe watulivu na kusubiri maamuzi ya viongozi. Tusi hukumu watu hapa hatuna facts hiyo barua yenyewe hatuna uhakika kama ni genuine au ya kutengeneza.
Tuvute subra wakuu.........
Huyu owner mwingine kishatuambia "relaxed till then.." sasa sijui hii till then ina maana lile jengo pacha jirani pindi litakapo poromoka au sijui nini....
Babu wa watu wa kihindi anasulubiwa peke yake lupango huko.
Bongo ni zaidi ya uijuavyo...
Rudi kwa jina la awali la KUCHE na umtaje Joshi Kanji ni nani acha kuruka ruka na kubadili majina utoto huo.
Nataka niku hakikishie jamaa yako Mchechu hatofanywa chochote hivyo usiwe na khofu mkate wako bado upo tu, na hao "WENYE mamlaka" hawana haja ya kusoma hapa, uozo uliopo kwenye serikali...
KUCHE aka JamiiBora,
Unapo badili majina jaribu kuwa a little bit smart, ( rejea kwenye nyekundu hapo )
Ushauri wa bure anzisha thread ya maafa ya Arusha tuwajue wa kuwajibika.
Huu utoto wa kuandikisha majina mapya every now and then hausaidii katika kumtetea rafiki yako
Naona sasa hoja zimeisha vimebaki vioja!, wenye akili zao washakustukia unataka kumuokoa rafiki kwa kumjadili mtoa hoja badala ya hoja. Kwa hiyo sasa mada ni Joshi Kanji ni nani, kaoa karibuni, kijana sio riziki, (mkorogo) m-mbeya ana majungu yale yale alipokuwa shule nk. Endelea kuporomosha...
Sasa kama ningewataja hao kwa majina na kumuacha Mchechu mtu mwingine angeniuliza mbona Mchechu umemuacha! Hakuna mahala niliposema hao wengine hawahusiki bahati wengi washakamtwa na kesi zipo mahakamani, tatizo lako ni kutajwa Mchechu tu?
Bahati mbaya zaidi kuliko zote ni nchi imeruhusu watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.