Recent content by joseph1980

  1. J

    huyu demu simuelewi kabisaaa!!!

    kama ni kicheche mbona pesa ninazo na haonishi khali ya kupaparikia pesa?,pili kuna siku nilimshtukiza nikaenda naye glosari moja tukapata vinyaji on the way she pay for fare.tatu nitammegaje wakati bado hakijaeleweka.mwisho mimi nimempenda kwa dhati.
  2. J

    huyu demu simuelewi kabisaaa!!!

    wadau nipeni ushauri kuna dem moja nimetokea kumzia kinoma kiasi kwamba nahisi ameshafahamu hilo.huu ni mwezi wa tano sasa tangu nifahamiane naye.nimeshamweleza kilicho moyono mwangu anadai ananichunguza eti hajanifahamu vizurii!!!.nikimpigia simu anapokea tunachonga freshi,appointment anakwepa...
Back
Top Bottom