CCM Mbona mnateseka yaani Hiyo ni maalim sief,
Je akirudi TL si ndio itakuwa balaa zaidi maana sio kwa Moto atakaowawashia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtateseka sana na lisu..nadhani mngerudi mtwara mkarudishe korosho za watu mlizozikataaa kabla hazijabunguliwa kwenye maghala yenu hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.