Habari wakuu,
Naomba kuwasilisha kwa wahusika na wadau, barabara ya Nyerere kwa sasa imekuwa kero kwa watumiaji kutokana na msongamano mkubwa wa magari.
Hii inakuja baada ya mwekezaji kuingiza MABASI ya mwendokasi kwenye lane zake.
Kinachokwaza MABASI haya yananza kazi saa nane mchana mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.