Recent content by jose mjasiriamali

  1. jose mjasiriamali

    Serikali tazameni ili kuhusu simu za mikopo zina utapeli mkubwa

    Mkuu unalazimishwa kujiunga nao?
  2. jose mjasiriamali

    TANESCO: Maboresho zuzu kuathiri umeme mikoa 15

    Sijui kwanini nafikiri ni bot
  3. jose mjasiriamali

    Wanaume tumieni lip balm, kukauka na kukatika midomo sio ujanja

    Kuna kamstari kembamba sana kanakotenganisha hicho unacho promote na ushoga.YBWYB
  4. jose mjasiriamali

    Nikiwa A-Level na chuo, nilikuwa napiga bao tamu sana kwenye mtihani mgumu!

    Ni muda sana. Labda kwa sababu ilikuwa the first time na experience issues ya hivyo. Haikuwahi kujirudia
  5. jose mjasiriamali

    Nikiwa A-Level na chuo, nilikuwa napiga bao tamu sana kwenye mtihani mgumu!

    Sasa jaribu kuwaza nimetumwa na kijiji niko napiga msuli wa maana kukosa ka swali ka hivyo uongo, ila pale nilipochana it's like ni hofu pia ya kuwana kazi chafu ila All in All like bao lilikuwa tamu mnooo
  6. jose mjasiriamali

    Nikiwa A-Level na chuo, nilikuwa napiga bao tamu sana kwenye mtihani mgumu!

    Sijawahi kusahau hadi swali,ilikuwa paper ya Civics form one term one kwenye hizi shule mnaita technical schools,swali linahitaji ni briefly explain three types of family kama sikosei, Nika mention, kuja kushtuka nikachana ile paper na nilikuwa nimejibu maswali mengine mule.wakati naanza upya...
  7. jose mjasiriamali

    Responded NACTVET: Tunakabiliwa na changamoto ya kimtandao, Tunashughulikia kuhakikisha huduma zetu zote za kimtandao zinarejea

    vipi ishu ya Msimbo find? Vyuo vimefunguliwavya LITA ila mwanafunzi anashindwa kuripoti kwa kuwa hana msimbo na mfumo unasumbua kupata msimbo kwa wale wa second round?
  8. jose mjasiriamali

    Namwambiaje mume wangu kuwa huu sio ujauzito wake?

    Kuna Mwamba alioa mwanamke ana mimba ya miezi 7. Elewa neno MWAMBA
  9. jose mjasiriamali

    Wachungaji KKT washtushwa uchafu wa Vyoo vya Chuo Kikuu UDOM

    Kanisa limeshindwa kabisa kuwa na ukumbi wake hadi muende UDOM? Ujanja ujanja tu kama watu wa mataifa
  10. jose mjasiriamali

    Hakika sijutii kununua pikipiki aina ya boxer 150(bm150)

    Hili zuri kwa rough road,liko juu nafikiri ndicho anachomaanisha
  11. jose mjasiriamali

    Swali Kwa wanaume kama una mbususu usijibu🚫?

    Mkuu hao ni wanawake watano tofauti
  12. jose mjasiriamali

    Hivi kuna madhara gani kuacha pombe ghafla?

    Umeongea ukweli mtupu Mkuu
  13. jose mjasiriamali

    Swali: Kwanini Ardhi ilaaniwe kwa kupokea damu ya Abili, iliyomwagwa na Kaini nduguye?

    Swali lako mjomba lina mizizi ya theolojia ya haki, maisha, na ardhi kama sehemu ya uumbaji wa Mungu. Hebu tuchambue kwa kina kwa kutumia maandiko na tafsiri ya kiroho. 📖 Maandiko ya msingi: Mwanzo 4:10-12 (SUV) 🤔 Kwa nini ardhi ililaaniwa? 1. ✅ Damu inawakilisha uhai ➡️ Kumwaga damu...
  14. jose mjasiriamali

    Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako?

    Naonekana bonge la mlevi kumbe wala,mnywaji tu wa kawaida:):)
Back
Top Bottom