Hao DSTV wajitathmini. Sasa hivi ligi za Ujerumani, Hispania na Italy ni TZS 28,000 AZAM TV. Hao DSTV wanapata jeuri na na EPL tu. Na yenyewe nayo chali kwa sababu CABLE siku hizi mpaka uswahilini wakati zamani zilkuwa ushuani tu. Kwa hiyo kama DSTV wanataka kuendela kuwepo kwenye biashara basi...
Fadlu ni kocha mzuri ila muoga sana hasa kwenye mechi kubwa. Mashabiki wa Yanga wajiandae kuwa wanashika roho hata zile mechi za kawaida za kushinda na kurelax. Udhaifu mkubwa kwa Fadlu upo timu ikiwa inaongoza goli moja ghafla tu anaibadilisha timu ianze kuzuia badala ya kuendela kushambulia na...
Singida nahisi kuna shida ya malipo kwa wachezaji kwani nimeona wachezaji wawili wameshavunja mikataba wamesepa. Hii timu ina bahati mbaya sana wanakuja wawekezaji baadae wanaitelekeza sijui shida nini.
Kama ni kweli huyo mwalimu kafanya hivyo basi atakuwa amekosea sana. Baadhi ya walimu na wakuu wa shule wana tabia hiyo sana ya kuficha hayo matukio ili jina la shule lisiharibike. Kimsingi kwa sasa hali ni mbaya mashuleni kwa hiyo ni jukumu la kila mzazi kwanza kuwa karibu sana na mtoto wake na...
Paka huwa ana roho saba. Unaweza kumpiga ukadhani umeshamuua ukashangaa baadae kafufuka. Umeshawahi kujiuliza ni kwanini kila siku anafanya press wakati ameshawatangazia baadhi ya watu kuwa hagombei tena. Vipi alifanya mkutano Bunju akafikia mpaka kuunda bodi mpya wakati yeye hagombei. Na je...
Hongereni Simba kwa comeback na poleni Namungo kwa kuzembea mlikuwa na uwezo wa kumuua tembo kwa ubua. Simba bado kuna mizaha mingi sana kiasi unajiuliza hawa jamaa wapo serious wanautaka ubingwa? Walitafuta sana goli bada ya kulipata tu wakaanza mizaha yao kama waliyokuwa wanafanya kipidi cha...
Watu hawajamshtukia huyo Ngunguboy. Yeye anajua kabisa hagombei kutokana na katiba kumbana lakini anapambana aingize mtu wake ili yeye arudi Simba kwa mgongo wa kwenye nafasi za uteuzi. Kwa hiyo wanasimba wakichanganya tu huyo Ngunguboy mtakuwa naye sana.
Wote Simba na Yanga hawana malengo kwa hiyo kuvuka kwao kwenda robo ni kudra tu za Mungu labda ziwasaidie. Yanga kauza Okello halafu kaleta Chekature. Hao Simba wana Doumbia ambaye kila mechi lazima apangwe wakati Mgunda kamzidi mara mia anaozea benchi. Nafasi tano za wazi mshambuliaji wa...
Mkuu wewe chukulia kuombe wafu ni ujinga kwa mtizamo wako inatosha kabisa. Na acha hao wanondeleza imani yao ya kuombea wafu waendelee nayo. Historia inaonyesha kuwa imani zote za dini zimepitia udhalilishaji wa aina moja au nyingine mpaka kufika leo hii. Pia Tanzania haikufika hapa kwa bahati...
Hii nchi ina baadhi ya watu wenye akili ndogo na ndio hao huwa wanapotosha viongozi wetu. Kama mimi ningekuwa kiongozi wa serikali ningewaunga mkono katoliki na ningewaomba viongozi wa dini nyingine wafuate mfano wao. Kwa sababu watu wakienda makanisani na misikitini kwa wingi siku hiyo itaondoa...
Kwa mtizamo wako ni sawa Doumbia ni mshambuliaji mzuri lakini si wa viwango vya kuipa Simba kombe la CAF. Kwa mtu anayefahamu mpira hapo kwa Doumbia labda kama Simba wanataka kubeba kombe la Muungano. Ila kama Simba wapo serious wanalihitaji taji la CAF basi Simba wanahitaji kusajili...
Simba wakiweza kupata wachezaji watatu bora kwenye dirisha linalokuja kuna uwezekano wakafanya vizuri sana:-
1. Mshambuliaji namba tisa aliyekamilika anayelijua goli na kutumia nafasi chache vizuri, ambaye anaweza kujitengenezea nafasi mwenyewe pale timu nzima inapobanwa pia awe na uwezo...
Tatizo viongozi wa Simba na Yanga huwa hawana maono na hawajui kutumia fursa. Kwa viongozi makini hili dirisha dogo linalokuja ni kuwekeza kwa kusajili wachezaji wakali wawili/watatu bila kujali gharama watakaoleta impact kubwa kwenye klabu bingwa Afrika. Pesa itakayotumika itarudi kwa sababu...
Ni mchezaji mzuri Yanga wamvumilie. Lakini viongozi wa Yanga nao wanajukumu la kuzungumza na mchezaji ili kujua anapitia masaibu gani. Haiwezekani jamaa wakati anafika bongo alikuwa anacheza vizuri sana lakini ghfla tu kawa mchezaji wa kawaida.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.