Kwa wale tuliosoma Tabora Girls mnakumbuka mambo ya WARSAW NA BERLIN
tukitoka disco pale milambo wanaume tukiwa tunarudi tunawakuta wavulana wa TABORA BOYS ndo wanakula ugali wa usiku tunawazomea haoooo tumetoka kwa shemeji zenu basi usiku wanavaa kininja wanakuja Girls na fimbo na kutuchapa...
Kuna kipindi fulani walipelekwa pale mabinti wawili mmoja alikua ana asili ya kiarabu, watoto wa watu walikua wanatongozwa mpaka wakifika kwao wako hoi.
leadership is born, leadership is a talent, na kiongozi bora anaanza tangu utoto wake, experience makes it perfect; mtu hawezi on the edge of forty fifty hakuwahi hata kuwa monitor wa darasani ukampa aongoze mamailioni ya watu ukategemea atakua kiongozi bora, the leader who is born to be a...
Ila ukiunganisha dots unaweza kushtuka kwamba nani ni nani hasa kama upo hapa kwa ajili hiyo, mfano kwa hayo maneno yako mama hapo juu nimehisi wewe ndiye MZEE MWANAKIJIJI
UNGAUNGA haukua na sumu yoyote inayotambulika na hakuna camera
iliyokua imezimwa na hakuna mtu aliyethibitisha kuonekana kwa mtu yoyote
akirusha ungaunga
SOURCE: MAJIRA (POLISI YAZIMA UCHAWI BUNGENI)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.