Recent content by JokaKuu

  1. J

    Chaguzi zote huwa wanaiba lakini 2025 mauaji yalikithiri. Je, CCM ilikosea wapi?

    ..mbona watangulizi wake waliweza kuiba bila madhara makubwa kwa wananchi? Mama Abduli alikosea wapi? Na alipaswa kufanya nini ili aibe kama watangulizi wake?
  2. J

    Swali Nyeti: Tuisaidie Vipi CHADEMA Kuelekea 2030?

    ..nilichosema naamini kinamhusu kiongozi yeyote, ktk nafasi yoyote.
  3. J

    Chaguzi zote huwa wanaiba lakini 2025 mauaji yalikithiri. Je, CCM ilikosea wapi?

    ..Ninachojiuliza ni Mama Abduli na Ccm walikosea wapi? ..Mbona miaka yote huwa wanapatia ktk kuiba kura bila kusababisha madhara makubwa? ..Je, Mama Abduli na Ccm walipaswa kufanya nini ili kufanikisha uporaji wa uchaguzi, bila kuleta madhara makubwa kwa jamii?
  4. J

    Swali Nyeti: Tuisaidie Vipi CHADEMA Kuelekea 2030?

    ..halafu Mama Abduli alivyokuwa muerevu hata hakuwapooza wananchi kabla hajapora kura. ..yaani hakufanya jitihada zozote zile kuhakikisha kwamba uporaji wa kura unafanyika bila kuleta madhara kwa wananchi.
  5. J

    Swali Nyeti: Tuisaidie Vipi CHADEMA Kuelekea 2030?

    ..watu wanapenda kitu " original. " ..Magufuli alikuwa ni brand yake mwenyewe. ..Ndejembi naye anatakiwa ajipambanue yeye kama yeye, na sio kujaribu kuwa mtu mwingine.
  6. J

    Swali Nyeti: Tuisaidie Vipi CHADEMA Kuelekea 2030?

    1.chama kisaidiwe kufanya operesheni nyingi zaidi mikoani, mpaka majimboni. 2.viongozi wa mikoa na majimbo ya uchaguzi wachangamshwe na wawezeshwe ktk kukipeleka chama kwa wananchi. 3.Chama kiandikishe wanachama wengi zaidi. 4.uchangiaji wa tone tone uimarishwe. chama kisitegemee michango ya...
  7. J

    PostGE2025 Kikao chao cha Maridhiano chaahirishwa kwa Muda usiojulikana

    ..wanaweza kufanya kazi pamoja. ..katika kampeni za 2020 Chadema na ACT walikuwa pamoja. ..hiki ndicho kipindi kirahisi zaidi kushirikiana kuliko kusubiri wakati wa uchaguzi mkuu.
  8. J

    Ninawasihi sana viongozi wetu wa CHADEMA kuzingatia sana suala la Dipolomasia ya Mazungumzo ya kisiasa kutatua suala la TUNDU LISSU

    ..kwanini Ccm au Serikali hawazungumzi na Lissu moja kwa moja? ..Ukiweza kumshawishi Lissu utakuwa umeshawishi Chadema nzima. ..Ukiweza kumshawishi Lissu hata wanaharakati wataunga mkono. ..Kwanini Tundu Lissu anakwepwa ktk suala linalomhusu moja kwa moja?
  9. J

    Msongamano mkubwa wa Malori ya Mizigo Dar-Chalinze kwa sasa ni matokeo ya Ubia (PPP) Bandari ya Dar es salaam-David Kafulila

    ..tungeacha kuwekeza kwenye midege, mi-afcon, tungeweza kuboresha mifumo yetu ya kutoa na kuingiza mizigo bandarini. ..nina wasiwasi kwamba fedha zilizowekezwa Atcl ni zaidi ya fedha alizowekeza DP World bandarini.
  10. J

    Msongamano mkubwa wa Malori ya Mizigo Dar-Chalinze kwa sasa ni matokeo ya Ubia (PPP) Bandari ya Dar es salaam-David Kafulila

    ..mimi hoja yangu ni serikali iwe na uchungu / wivu na mapato madogo iliyonayo. ..kwa mfano, tumevamia ununuzi wa midege na sasa hivi tunakula hasara ATCL kila mwaka. ..kuna miradi lukuki tungeweza kuifanya, hata kupitia PPP,N kwa fedha tulizokwenda kuwekeza kwenye kununua midege. ..Na...
  11. J

    PostGE2025 Yeriko Nyerere: Nimepoteza Ndugu wawili katika vurugu zilizohamasishwa na CHADEMA

    ..akiwa Mwanachadema alipoteza marafiki wangapi ambao walitekwa na kuuwawa na vyombo vya dola? ..Na ndugu aliopoteza OCT 29 waliuwawa na waandamanaji, au waliuwawa na Polisi?
  12. J

    PostGE2025 Hivi kuna sababu na maelezo gani ya msingi kuhalalisha mauaji ya watoto OCT 29?

    ..hebu acheni uongo hakuna Polisi aliyeuwawa. ..waandamanaji hawakuwa na bunduki wala silaha yoyote inayoweza kushambulia na kuuuwa Polisi wenye bunduki. ..kufyatua risasi au kutumia silaha ktk makazi ya wananchi ni kinyume na kanuni za kiusalama. ..tukikwambia Polisi wetu hawana weledi na...
  13. J

    PostGE2025 Kikao chao cha Maridhiano chaahirishwa kwa Muda usiojulikana

    ..waweke tofauti zao kando. ..naamini hakuna chama cha upinzani kinaridhika na mifumo na namna uchaguzi unavyoendeshwa. ..vyama vya upinzani vikiungana mkono kwamba hakuna maridhiano bila Lissu naamini atatolewa mara moja.
  14. J

    PostGE2025 Kikao chao cha Maridhiano chaahirishwa kwa Muda usiojulikana

    ..hivyo vyama havijajifunza kilichotokea ktk task force ya Prof.Mkandara? Au kilichotokea ktk uchaguzi mkuu?Ni bora vyama vya upinzani waunganishe hoja zao na waache kupingana wao kwa wao.
  15. J

    Kimantiki takwa la kuachiwa huru kwa Tundu Lissu kabla maridhiano hayajafanyika halina maana tena!

    ..wamuachie tu. ..Mandela aliachiwa toka kufungo cha uhaini na ugaidi. ..hakuna sababu ya kuendelea kumshikilia Lissu kwa tuhuma ambazo zinalipiwa faini.
Back
Top Bottom