Recent content by johsee

  1. J

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Najiuliza hivi hawa wachezaji hawafundishiki au tunaleta makocha wasio na ambitions, tunahitaji demanding coach type ya Mourintho au Conte naona coach game plan haiwork lakini kocha katulia kama tunaongoza 5 hawezi kemea uzembe, low mentality haitatufikisha popote ukichanganyia na wachezaji...
  2. J

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Huu ushindi usitusahaulishe bado tunarukaruka, manyumbu wangekuwa serious first half mechi ilikuwa inaisha Fofana kila siku zinavyokwenda anazidi kuwa mjinga Sijui lini tutakuwa na timu serious ya ku challenge ubingwa
  3. J

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kama fofana atarudi kipindi cha pili basi Alonso nae atakuwa kocha wa mwendokasi
  4. J

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Eeeeh kweli ushabiki ni kama ulevi
  5. J

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hivi huu ugonjwa wa ikifika usiku kati ya sa 3 mpaka sa 6 mtandao kuwa mbovu kwa voda na wengine inawakumba? nb. Natumia kifurushi cha 30Mps lakini muda huu max ni 10Mps kustream HD inakuwa anasa
  6. J

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kwamba unaitafuta heshima kwa matusi? Anyway ngoja nikupuuze kama uwezo wako wa kureason ndio huu
  7. J

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Joined 2020 unaita watu dogo sio?
  8. J

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hiki kikundi siku kikicheza na Sunderland ni goli kuanzia 4 na kuendelea
  9. J

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Maswali ya kindergarten haya unafikiri kutengeneza timu ni kama kupanga cone. Timu imemaliza nafasi ya 10 msimu uliopita unategemea sajili zisizozidi 3 kwenye first eleven zifanye kuwa title contender
  10. J

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mazoezi ya how to win EUFA bado hamjapata tutorial
  11. J

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Msimu huu wamefunga magoli mangapi ya set pieces? Hilo goli ya kwanza waliloruhusu Arsenal msimu huu limefungwa na back 4 ?
  12. J

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hiyo stalker naona ipo vizuri tatizo huwezi weka favorite channel, kuna favorite link tu sasa kuanza kuchambua channel kwenye group la channel 1000 kwangu naona ni usumbufu
  13. J

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Wakuu website gani naweza pata IPTV player nzuri kwa window PC
  14. J

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kilichonikera tu leo ni kocha kushindwa kufanya game management 4-2 unakomaa kuputua mbele wakati unaweza jilinda kwa kucheza pasi fupi fupi na kumaintain possession Anyway japo tukubali kocha bado yupo kwenye experiment cha kushukuru matokeo yanapatikana
  15. J

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kipindi unaposses 75% ulishawahi wafunga Brighton
Back
Top Bottom