Recent content by Johnson Fundi

  1. J

    Video: Kuna Jambo Halipo Sawa Hapa, Either Tumekosa Uelekeo Au Uelekeo Umetukosa Sisi. Hii Ni Dharau Kubwa Sana

    ni hoja tu, kupata ulinzi wa polisi. kama una msafara na una mapesa mengi unasafiri nayo, polisi ukiwaomba hawakunyimi ulinzi maana ndio kazi yao KULINDA RAIA NA MALI ZAO.
  2. J

    Justice for Mchome

    lakini mashataka yaliyofunguliwa tofauti kbs na ulichotaja wewe!!!!!!
  3. J

    Trump Waarabu wanamcheza kama wazungu wanavyowacheza viongozi wa Afrika

    is it?!!!? ni kama alivua vile?!? au niliona vibaya!!!!
  4. J

    Hospitali Teule ya Mugana ya mkoani Kagera yaongoza kitaifa kwa usafi katika Hospitali za Wilaya

    wakienda kushindanisha za MIKOA naipa nafasi HOSPITALI YA MKOA WA GEITA - MAGOGO
  5. J

    Geolojia inasemaje katika hili, Je kwanini Zanzibar hakuna madini ya dhahabu, copper au Almasi?

    Ndgu yangu, dhahabu mara nyingi kwenye nchi zetu hizi haisubiri wanajiolojia mahiri wakwambie ipo au haipo, ni wanajiolojia wetu wa ngumbalu ndio wantuonyesha hapa kuna dhahabu, migodi yote ya dhahabu huku bara ilianzishwa na wachimbaji wadogo ndio wakubwa wakaja na mipesa yao wakaondolewa. kwa...
  6. J

    LATRA yasitisha leseni ya kampuni ya mabasi ya Katarama

    Ninavyojua katarama ana BRAND NEW SCANIA TUPU, hebu wajuzi mjadili perfomance ya SCANIAna YUTONG,DRAGON,HOYO zinapokuwa barabarani
  7. J

    PreGE2025 Jeshi la Polisi: Tumepata taarifa CHADEMA wanapanga Maandamano na Kuvamia Vituo vya Polisi Dar kwa wakati mmoja

    hahahaaaahaaaa!!!!!!!, au kuna mtu analizushia jeshi letu mahili la polisi?!?, maana hii taarifa hata kwa waliosoma nkome huko wanaelewa ni kampiko fulani hivi. lakini hii si mara ya kwanza!!!
  8. J

    Watatu wahukumiwa kunyongwa kwa mauaji ya Milembe wa GGM

    swali lako ni fikirishi sana, nadhani hatujafika mwisho wa case hii,je walikuwa ni wao tu kwa utashi wao tu??!!? and for what reason, kama walitumwa the somebody behind the scene yuko wapi?!?, hawezi kuua wengine?!?
  9. J

    Wizara ya Afya Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari hapo wizarani, npenda kuelewa kwa kina ni kwa namna gani wizara hii nyeti inasimamia dawa nyingi zinazotangazwa na kuuzwa mitandaoni, maana sioni alama yenu yoyote kwamba imesajiliwa na ni salama ka matumizi ya binadamu lakini pia inatibu kwa usahihi kile kinachosemwa. vinginevyo hilo...
  10. J

    Fixed Deposits Account, UTT-Amis ni njia nzuri za kutunza pesa LAKINI SIYO uwekezaji abadani

    iko hivi wan yes watacalculate faida yako kila mwezi itaingia kwenye account yako lakini huwezi kutoa mpaka maturity
Back
Top Bottom