Habari wana JF!!
Nilivyokuwa naelewa miaka ya JK wa kwanza, Kipindi cha Mzee wa Ruksa, na hata Mda nyuma kidogo wakati wa BWM, TANESCO ni shirika la umeme Tanzania, lililokuwa linahudumia wananchi wa Tanzania Umeme..!!
But nowadays, Hii definition imebadilika!, nikiangalia sioni hata...