Mkuu umeandika vyema kabisa.
Tujiulize, hawa walioweka utaratibu huu ni akina nani, lini? Na mazingira yao yalikuwaje? Nafikiri ni kati ya mambo mabaya tuliosafiri nayo tangu ukoloni.
Najaribu kufikiri kuwa enzi hizo nchi ya watu wachache, na kubwa watumishi wa mahakama wengi wazungu na ambao...
Ina matatizo lukuki. Jaribu kufikiri tatizo hili limeripotiwa hapa ikielezwa ni zaidi ya siku tano hakuna maji. Ajabu leo ndio wanatoa taarifa na kuomba radhi!
Kwamba wanahitaji wiki nzima ili kukumbuka umuhimu wa kutoa taarifa kwa wateja wao,huku kukiwa na kitengo cha huduma kwa wateja.
Kuna...
Najiuliza mara kadhaa suala hili; huko kwenye taasisi za umma, mamlaka za maji zikiwa miongoni mwao, wana pewa malengo, kufanyiwa tathimini na baadaye kujua kama wako katika mstari unaotakiiwa?
Nachokiona ni mtu akipata kibarua hata cha kusoma mita( eti katika dunia ya leo, unalipa watu ili...
Kama hoja ni kulinganisha huduma kwa wateja, TANESCO, hata kama wana mapungufu sio hawa watoa huduma ya maji wa Mwanza.
Wanakwambia huduma zinatolewa kidijitali lakini ukiwaona wanavyohangaika utashangaa. Kwamba ukitaka huduma/ hizi namba utafikiri ni chasis namba!
Kinachotokea watumiaji...
Hili naona hata yule "Roving Journalist" wa JF anahusika, amegeuka kuwa msemaji wao na akiulizwa maswali, uzi unapotea.
Niliandika hapa kuhusu kuchelewa kupata huduma baada ya kuomba kufungiwa maji, uzi ukapotea.
Wiki moja baadaye huyu Rovibg Journalist, akarudi na uzi kuwa suala langu...
Rakesh Rajan, aliyeanzisha kuleana, Haki Elinu nk, wakati akitoka masomoni Havard, alikuwa mebeja wa muda wa Lake sec.
Mara mojq mzee aliyeajiriwa kuleta bakora kila siku alikosa kazi. Viboko vilipigwa marufuku, adhabu pekee ilikuwa ni push ups zisizozidi tano.
Ndani ya wiki mbili, yule mzee...
Ninachokiona ambacho kinakwenda kutokea ni umaarufu wa Lissu na CDM kuongezeka zaidi, kwa kile ambacho watanzania wataona kuwa wanaonewa.
Naiona hali ngumu zaidi kwa watawala na chama chao, huku hii mihimili mingine ikiendelea kukosa uaminifu wa umma.
Mkuu.
Hili jambo limenifanya nitafakari tangu jana. Kuna mambo ukiyafuatilia utaona kana hawa wawili waliwasiliana kabla.
1. Jaji anasema, hawezi kuingia ndani kwenye ushahidi, ila wamefikia hitimisho.
2. Katuga anasema kwa kuwa amepatikana na hatia katika kesi ndogo, basi hukumu iwe miaka 5...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.