Ile habari ya Yusufu inabeba ujumbe gani kwa Agano Jipya?
Kuna habari inazungumzwa, kwamba agano la kale ni kivuli cha agano jipya. Sasa je, ile habari ya Yusufu ilikuwa ina ufunuo gani kwa agano jipya?
Ni kweli kabisa kuwa agano la kale ni kivuli cha mambo yanayoendelea katika agano jipya...
Watu gani walitabiriwa hawataonja mauti kabla Bwana hajaja mara ya pili
Ni wakina nani ambao Bwana alisema hawataonja mauti mpaka atakapokuja?
Yesu akiwa anafundisha watu katika eneo la Kaisaria Filipi, ambalo liko karibu kilomita 25 hivi kutoka mlima Hermoni, aliwatangazia mitume wake jambo...
Je watoto kupatilizwa kwa ajili ya dhambi za wazazi wao?
Kitabu cha Ezekieli 18:20 kinatuambia, "Roho atendaye dhambi, ndiyo itakayokufa; mwana hatauchukua uovu wa baba yake, wala baba hatauchukua ouvu wa mwanawe".
Watoto hawaadhibiwi kwa ajili ya dhambi zilizotendwa na wazazi wao; wala wazazi...
Maandiko yanasemaje kuhusu utoaji wa mahari katika ndoa
Kuna maswali kadhaa ambayo baadhi ya watu huulizana mara kwa mara.
Mifano: Je ulipwaji wa mahari ina ulazima wowote? Je ni agizo la kibiblia? Na kama ni hivyo, je Adamu alitoa mahari kwa nani ili ampate Hawa?
Mahari ni zawadi ya harusi...
Naingiwa na uvivu kila nikitaka kusali
Kwa nini kila nikitaka kusali naingiwa na uvivu. Au nikitaka kusoma Neno ninapatwa na usingizi. Je, hizi ni nguvu za giza zinazisonga au ni nini?
Kwa mtu yeyote aliyeokoka, mbele yake wapo maadui wawili wakubwa.
Adui wa kwanza ni SHETANI. Adui wa pili ni...
Matumizi ya maneno damu na jina la Yesu
Kumekuwa na mjadala kuhusu matumizi ya maneno DAMU ya Yesu na JINA la Yesu.
Hebu tuangalie misingi ya tofauti ya matumizi ya maneno hayo.
Kwa waaminio au wafuasi wa Yesu Kristo, je, damu ya Yesu ina kazi ya kutulinda sisi au mali zetu pale tunapoomba...
Wana wa manabii ni akina nani
Katika biblia tunasoma sehemu kadha wa kadha zikiwataja “wana wa manabii”.
Katika Agano la Kale, lilikuwepo kundi la watu waliojulikana kama Wana wa Manabii (1Wafalme 20:35, 2Wafalme 2:5, 2Wafalme 4:1, 2Wafalme 6:1).
Watu hawa walikuwa ni manabii wa Mungu, ambao...
Mapooza ni nini na yanaepukwa vipi
Mapooza ni vitu au mambo yo yote yasiyoweza kuzalisha chochote, au kufikia kilele chake cha kutoa matunda kamili.
Neno mapooza limetokana na neno kupooza. Kwa mfano, tunaposema mtu amepooza mkono, maana yake ni kwamba anao mkono lakini hana uwezo wa kufanya...
Ni rahisi zaidi ngamia kupenya tundu la sindano
kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni
Yesu Kristo alisema, ni vigumu kwa tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni kama ilivyo vigumu kwa ngamia kupita katika tundu la sindano. Je, Yesu alikuwa anarejelea ngamia na sindano halisi?
Kama...
Unaweza kubatizwa na usipokee Roho Mtakatifu.
Unaweza kupokea Roho Mtakatifu kwa kuwekewa mikono au la.
Mambo haya yamekuwa yakiongelewa na baadhi ya watu, bila majibu sahihi.
Hebu tuyaangalie kwa mujibu wa maandiko.
Matendo ya mitume 8, yanasema:
14 “na Mitume waliokuwako Yerusalemu...
Kuna tofauti kati ya ndoto ya Mungu na ya shetani
Maarifa yanayohusiana na ndoto ni mapana. Hata hivyo, kwa ufupi, zipo ndoto za aina tatu.
1. Ndoto zinazotokana na shughuli unazofanya
Ndoto hizi ndizo mara nyingi zinamjia mtu. Kwa mfano: mtu alikuwa anafanya shughuli fulani siku nzima, usiku...
Biblia inavyosema kuhusu kiburi
Kiburi siyo dhambi unayofanya kwa njia sawa na kuiba au kusema uwongo. Ni mtazamo wa moyo na njia ya kufikiria. Huwezi kuona upepo, lakini unaweza kuona athari za upepo, na ni sawa na kiburi. Huwezi kuona kiburi, lakini unaweza kuona matokeo yake. Kimsingi...
Kuomba kwa bidii kama Eliya ni kuomba kwa namna gani
Maandiko yanasema Eliya aliomba kwa bidii hadi akasimamisha mvua kunyesha kwa muda wa miaka 3 na nusu (Yakobo5:17) Je, kuomba kwa bidii ni kuomba kwa namna gani?
Hebu tusome Yakobo 5:
17 “Eliya alikuwa mwanadamu mwenye tabia moja kama sisi...
Yesu alimaanisha nini kwa kusema waache wafu wazike wafu wao
Tamko hilo lilitolewa na Yesu, kupitia kitabu cha Mathayo 8:21.
Ili kufahamu vizuri habari hii, twende kwenye historia ya Wayahudi/Waisraeli katika tamaduni zao kuhusu shughuli za mazishi.
Waisraeli walivyozika zamani siyo kama...
Lugha iliyotumika kati ya Adamu na Mungu kwenye bustani ya Edeni
Biblia haijataja lugha gani ilikuwa inatumika pale bustani ya Edeni.
Ingawa Mungu ana uwezo wa kuzungumza na sisi pasipo lugha na tukamwelewa, lakini ni wazi kuwa kulikuwa na lugha fulani iliyotumika, kwa sababu Mungu ametuumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.