Recent content by Jof

  1. J

    Samsung galaxy Tab P6200 For Sale!

    Samsung Galaxy Tablet P6200 inauzwa nyeupe ipo katika hali nzuri sana, imetumika miezi 3. Bei ni sh. 600,000/-
  2. J

    Valuer na Red Bull ni Hatari kwa Afya? SWALI.

    Wana JF naombeni msaada kwa hili. Mimi napendelea sana kunywa mix ya valuer na redbull, siku moja rafiki yangu akaniambia kuwa mix hiyo ni noma coz inaathiri sana figo. Mix hy huwa ina nipa mzuka afu kama ndo napiga game aisee huwa naweza nisishuke hata kwa 1 and half hours. SWALI: je kuna...
  3. J

    Haya kwa wale wanataka Kujaribu Anti-Virus zao kama kweli zinalinda Wajaribu hapa.

    Dah maskini mi Laptop yangu imeibwa last week nilipopata ajali eneo la mwanga nikielekea Arusha!! Na mbaya zaidi ckuweka password kwny bios just password kwny os.
  4. J

    Nahisi Haus gel wangu ananitega

    tuache utani hata wewe unapenda! Kauli tu ya kusema ukalale nae inatosha kumpa kalipio kali. La sivyo mtego huo unakuhusu....dhibiti situation hii kabla coz anaweza kugeuza kibao kuwa unamtaka. Ikiwa hivyo ni worse coz hd uje ukatae kuwa si kweli nafkri mtakuwa mshaanza kulala mzungu wa nne na...
  5. J

    Natafuta kazi ( personal secretary)

    sor mama ni Presidents Office - Public Service Management - Home na pmolga.go.tz
  6. J

    Natafuta kazi ( personal secretary)

    cheki www.pmolga.co.tz au www.utumishi.co.tz walitoa nafac not less than 300.
  7. J

    salama

    poa! Lete mpya!
  8. J

    habari zenyu banaa!

    Wabongo twaweza kufisadi tu, so usithubutu kumfananisha t-pain na msanii yeyote bongo...tupo nyuma ya zero yaani -ve, na kwa uongozi huu wa kuchakachua mh sijui!
  9. J

    GE2010 Usanii wa JK - amteua kijana aliemaliza chuo kuwa DC

    Mzee tatizo hujawa fact based. Post yako imekaa ki-jungu!
  10. J

    Ridhiwani kikwete anaishi ikulu!???

    Huna hoja, Kaa chini hilo sio jibu! Wenye majibu wamejibu.
  11. J

    Nimeshindwa, Nahama Chadema

    Huyoo alifuata khanga amekosa...pole huku hatugawi khanga wala vilemba rudi ulkozoea na utagaiwa hd PIchu. Yawezekana n! Mbwa mwitu ulyejifanya kondoo...
  12. J

    Dodoma: Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge la 10, Nov 2010

    Duh hii kali Eti JK ktk muda wa mapumziko anatumia kuchek Africa Magic, hpo vipi?
  13. J

    baraza la mawaziri

    Usiseme prof, sema mganga wa kienyeji bana!
  14. J

    Unlocking a laptop

    Hakuna kusahau password hapo? Ni ya w*z* tu hyo!
Back
Top Bottom